Uwesutanzania JF-Expert Member Joined Feb 9, 2019 Posts 1,380 Reaction score 1,686 Nov 12, 2023 #1 Kwenye paa langu kuna maeneo linavujisha maji je ni njia ipi mzuri ya kuweka mambo sawa. Mafundi mnisaidie tafadhali na sina uwezo wa kubadili bati kwasasa hata kipande kimoja. Je nini nifanye katika hili.
Kwenye paa langu kuna maeneo linavujisha maji je ni njia ipi mzuri ya kuweka mambo sawa. Mafundi mnisaidie tafadhali na sina uwezo wa kubadili bati kwasasa hata kipande kimoja. Je nini nifanye katika hili.