Bati Simba Dumu Vs Sunda Best

Bati Simba Dumu Vs Sunda Best

Tman900

JF-Expert Member
Joined
May 30, 2017
Posts
589
Reaction score
1,897
Kwa wajuzi wa Bati Kati ya Hizo Bati mbili ipi ni Bora kwa Ubora Tunaitaji kuchukua Moja wapo kati ya Hizo Campuni 2 Kwa ajiri ya Ujenzi, Kuna Ndugu Yangu ameniuliza kuhusu hilo, nimeishindwa kua na Jibu la Moja kwa Moja,
Mimi huwa natumia Bati Yote Yote itakayokuambele yengu natazama mfuko wangu nachukua.
Naomba mwenye Kujua anipe Jibu ipi ni Bati Bora kati ya Hizo mbili.
 
Back
Top Bottom