Bati za Waja General ni nzuri?

Bati za Waja General ni nzuri?

Gogovivu45

JF-Expert Member
Joined
Oct 10, 2019
Posts
229
Reaction score
133
Binafsi nimepaua kibanda changu kwa bati nyeupe, ila kuna jamaa yangu yeye anashinda ya macho na ana project yake ya ujenzi ngazi ya kupau na anatamani msouth. Tumekwenda halafu bei imemshinda wanauza 28,000/ 27,000 kwa pc za rangi. Yeye ana uwezo wa 24,000/- katika kuzunguka tukakutana na watu wanaitwa WAJA GENERAL. Binafsi sina elimu ya bati za rangi isipokuwa nafahamu alaf wanaosema ukiweka umeweka.

Swali, Hawa jamaaa wa WAJA wako vizuri nisije mshauri halafu anilaumu!.
 
Kitu kizuri gharama ndugu yangu, Bati nzuri halisi za rangi muasisi ni ALAF, hao wengine rangi wanazipiga zinapauka baada ya jua na mvua kadhaa, akitaka kuepuka kujuta siku za mbeleni mwambie ajipinde achukue ALAF atakuja kukushukuru baadae
 
Back
Top Bottom