Bati zinazozalisha nishati ya umeme

Bati zinazozalisha nishati ya umeme

Masalu Jacob

JF-Expert Member
Joined
Jul 26, 2017
Posts
1,013
Reaction score
1,183
Habari Tanzania!

Je, una habari kuhusu bati zenye uwezo wa kuzalisha nishati ya umeme?

Teknolojia imekuwa sasa na mambo sio kama zamani.

Kwa wale wenye uwezo please fanyeni hiyo kitu jamani kwa kuwekeza hapa nchini au kuagiza kutoka ng'ambo.

Karibu!
 
Sema kuna technology moja ya kubadili joto kuwa umeme.Mfano yapo majiko yamewekewa vifaa Kama USB charger huku unapika wakati huo huo unatumia jiko Hilo Hilo kuchaji battery then unapata mwanga hii yafaa Sana off-grid yaani vijijini ili kuwasaidia wanafunzi kupata mwanga wa kusomea pia kuchaji simu huku unapika Kama ulivo huu mchoro.
 
Attachments

  • IMG_20200601_181359.jpg
    IMG_20200601_181359.jpg
    96.7 KB · Views: 3
  • IMG_20200601_181353.jpg
    IMG_20200601_181353.jpg
    94.3 KB · Views: 3
Sema kuna technology moja ya kubadili joto kuwa umeme.Mfano yapo majiko yamewekewa vifaa Kama USB charger huku unapika wakati huo huo unatumia jiko Hilo Hilo kuchaji battery then unapata mwanga hii yafaa Sana off-grid yaani vijijini ili kuwasaidia wanafunzi kupata mwanga wa kusomea pia kuchaji simu huku unapika
Eeewaah kiongozi. Hizo mambo ndio safi sasa.

Walio na ujuzi au mitaji waingie field watengeneze bidhaa ziingie sokoni.
 
Eeewaah kiongozi. Hizo mambo ndio safi sasa.

Walio na ujuzi au mitaji waingie field watengeneze bidhaa ziingie sokoni.
Mfano vijijini hawana shida ya kuni au mkaa unaweza tengeneza jiko la togali za kuchomwa juu unaweka plate ya chuma ambayo sufuria ukaa juu yake ikipata Moto unapikia,pia inakuwa na oven inakuwa na mtungi wa bati au chuma kwa ajili ya kuzalisha majimoto.

Maji Moto utumia kuuogea au maji ya kunywa unaweka bomba za kutoa mvuke uende Hadi kwenye propela propela unaiunganisha na otoneta ya kufua umeme then umeme unazichaji battery then unakuwa na inveta inaukuza umeme unatumia nyumbani,mvuke ukipoa unapita kwenye pipe unaenda kwenye mtungi unapata maji ya kunywa.
 
Mfano vijijini hawana shida ya kuni au mkaa unaweza tengeneza jiko la togali za kuchomwa juu unaweka plate ya chuma ambayo sufuria ukaa juu yake ikipata Moto unapikia,pia inakuwa na oven inakuwa na mtungi wa bati au chuma kwa ajili ya kuzalisha majimoto maji Moto utumia kuuogea au maji ya kunywa unaweka bomba za kutoa mvuke uende Hadi kwenye propela propela unaiunganisha na otoneta ya kufua umeme then umeme unazichaji battery then unakuwa na inveta inaukuza umeme unatumia nyumbani,mvuke ukipoa unapita kwenye pipe unaenda kwenye mtungi unapata maji ya kunywa.
Hii akili lazima uwe umesoma physics
 
Google meno acha uvivu
Ndo we ugoogle Sana...kuna vituo vya tesla vinatumia panel za solar kuchaji gari Kama vya mafuta...hilo unaloongea Ni theory..so acha let stori za kahawa au fanya Kwanza reserch
 
Ndo we ugoogle Sana...kuna vituo vya tesla vinatumia panel za solar kuchaji gari Kama vya mafuta...hilo unaloongea Ni theory..so acha let stori za kahawa au fanya Kwanza reserch
Hizo hapo men,pia zipo YouTube live.
Gari zinajichaji kuna stick yaani Kama fimbo inakwaruza chini inadaka chaji au kupitia station maalumu za kuchajia gari
 
Attachments

  • Screenshot_20200601_173356.jpg
    Screenshot_20200601_173356.jpg
    96.4 KB · Views: 3
  • Screenshot_20200601_173356.jpg
    Screenshot_20200601_173356.jpg
    96.4 KB · Views: 3
Mfano vijijini hawana shida ya kuni au mkaa unaweza tengeneza jiko la togali za kuchomwa juu unaweka plate ya chuma ambayo sufuria ukaa juu yake ikipata Moto unapikia,pia inakuwa na oven inakuwa na mtungi wa bati au chuma kwa ajili ya kuzalisha majimoto maji Moto utumia kuuogea au maji ya kunywa unaweka bomba za kutoa mvuke uende Hadi kwenye propela propela unaiunganisha na otoneta ya kufua umeme then umeme unazichaji battery then unakuwa na inveta inaukuza umeme unatumia nyumbani,mvuke ukipoa unapita kwenye pipe unaenda kwenye mtungi unapata maji ya kunywa.

Kinadharia ni sawa ila ukija kwenye uhalisia sasa kuna nishati ambayo itapotea kwenye kila hatua .
 
Back
Top Bottom