Bati zinazozalisha nishati ya umeme

Bati zinazozalisha nishati ya umeme

Wapi? Hebu weka maelezi ya kutosheleza japo na sisi wengine tukaongeze ujuzi.
Wapi? Hebu weka maelezi ya kutosheleza japo na sisi wengine tukaongeze ujuzi.
Chukua huu mchoro Kama we ni mtundu waweza jiundia umeme wako kwa kutumia kuni, mkaa,au oil chafu
 

Attachments

  • IMG_20200601_180828.jpg
    IMG_20200601_180828.jpg
    108.2 KB · Views: 3
  • IMG_20200601_180834.jpg
    IMG_20200601_180834.jpg
    113.8 KB · Views: 4
Habari Tanzania!

Je, una habari kuhusu bati zenye uwezo wa kuzalisha nishati ya umeme?

Teknolojia imekuwa sasa na mambo sio kama zamani.

Kwa wale wenye uwezo please fanyeni hiyo kitu jamani kwa kuwekeza hapa nchini au kuagiza kutoka ng'ambo.

Karibu!
Check hizi device zinabadili joto au Moto kuwa umeme so huku unapika huku unapata mwanga,zinaitwa thermoelectric generator, unaweza ziagiza Amazon, eBay au Alibaba ukiziagiza ukazisambaza vijijini off grid kusiko na umeme utapiga Sana hela.Kuni au mkaa wako tu unapata mwanga,unachaji simu,radio nk so kutokuwa na umeme wa tanesco si kikwazo ukiwa na maranda,au pumba za mpunga makaa ya mawe tayari una umeme
 

Attachments

  • Screenshot_20200601_194412.jpg
    Screenshot_20200601_194412.jpg
    78 KB · Views: 3
  • Screenshot_20200601_194802.jpg
    Screenshot_20200601_194802.jpg
    61.6 KB · Views: 3
  • Screenshot_20200601_194242.jpg
    Screenshot_20200601_194242.jpg
    73.1 KB · Views: 3
  • Screenshot_20200601_173432.jpg
    Screenshot_20200601_173432.jpg
    100.8 KB · Views: 2
  • Screenshot_20200601_194432.jpg
    Screenshot_20200601_194432.jpg
    81.9 KB · Views: 2
  • Screenshot_20200601_194456.jpg
    Screenshot_20200601_194456.jpg
    63.8 KB · Views: 2
  • Screenshot_20200601_194444.jpg
    Screenshot_20200601_194444.jpg
    80.2 KB · Views: 2
  • Screenshot_20200601_194610.jpg
    Screenshot_20200601_194610.jpg
    80.2 KB · Views: 2
  • Screenshot_20200601_194200.jpg
    Screenshot_20200601_194200.jpg
    63.2 KB · Views: 1
  • Screenshot_20200601_194556.jpg
    Screenshot_20200601_194556.jpg
    78.6 KB · Views: 1
  • Screenshot_20200601_194534.jpg
    Screenshot_20200601_194534.jpg
    60 KB · Views: 1
  • Screenshot_20200601_194520.jpg
    Screenshot_20200601_194520.jpg
    73.1 KB · Views: 1
Mkuu tumeshindwa kutengeneza toothpick tutaweza kuzalisha umeme wa bati au ndyo itatubidi tusubiri mabeberu ndyo waje watufungie iyo technologia.
Walewale wa kudharau kwao na kusifia ya ugenini. Ni kweli hatuna kiwanda cha toothpick lakini kiberiti tunatengeneza. Kipi kikubwa kati ya hivyo vitu?
 
Back
Top Bottom