Masalu Jacob
JF-Expert Member
- Jul 26, 2017
- 1,013
- 1,183
In black or white ?Masalo
Eeewaah kiongozi. Hizo mambo ndio safi sasa.Sema kuna technology moja ya kubadili joto kuwa umeme.Mfano yapo majiko yamewekewa vifaa Kama USB charger huku unapika wakati huo huo unatumia jiko Hilo Hilo kuchaji battery then unapata mwanga hii yafaa Sana off-grid yaani vijijini ili kuwasaidia wanafunzi kupata mwanga wa kusomea pia kuchaji simu huku unapika
Zipo barabara zinazozalisha umeme pia yaani gari ujichaji kwa kutumia barabara ambayo imetengenezwa kwa mfano wa solar panelsMzigo huu hapa.View attachment 1465730View attachment 1465733
Uzuri technology inakupa options kazi ni kwako kulingana na kipato.Zipo barabara zinazozalisha umeme pia yaani gari ujichaji kwa kutumia barabara ambayo imetengenezwa kwa mfano wa solar panels
Mfano vijijini hawana shida ya kuni au mkaa unaweza tengeneza jiko la togali za kuchomwa juu unaweka plate ya chuma ambayo sufuria ukaa juu yake ikipata Moto unapikia,pia inakuwa na oven inakuwa na mtungi wa bati au chuma kwa ajili ya kuzalisha majimoto.Eeewaah kiongozi. Hizo mambo ndio safi sasa.
Walio na ujuzi au mitaji waingie field watengeneze bidhaa ziingie sokoni.
Technology nzuri sana yaani unaweza ifanya dunia ifurahie.Elon Musk ana hiyo project, ingawa ilizingua kidogo amerudi kwenye drawing board. Huwa hafeli, tumpe muda tu.
View attachment 1465760
View attachment 1465761
Solar Roof | Tesla
Huko mzee punguza stori za kahawaZipo barabara zinazozalisha umeme pia yaani gari ujichaji kwa kutumia barabara ambayo imetengenezwa kwa mfano wa solar panels
Google meno acha uvivuHatujafikia
Huko mzee punguza stori za kahawa
Hii akili lazima uwe umesoma physicsMfano vijijini hawana shida ya kuni au mkaa unaweza tengeneza jiko la togali za kuchomwa juu unaweka plate ya chuma ambayo sufuria ukaa juu yake ikipata Moto unapikia,pia inakuwa na oven inakuwa na mtungi wa bati au chuma kwa ajili ya kuzalisha majimoto maji Moto utumia kuuogea au maji ya kunywa unaweka bomba za kutoa mvuke uende Hadi kwenye propela propela unaiunganisha na otoneta ya kufua umeme then umeme unazichaji battery then unakuwa na inveta inaukuza umeme unatumia nyumbani,mvuke ukipoa unapita kwenye pipe unaenda kwenye mtungi unapata maji ya kunywa.
Ndo we ugoogle Sana...kuna vituo vya tesla vinatumia panel za solar kuchaji gari Kama vya mafuta...hilo unaloongea Ni theory..so acha let stori za kahawa au fanya Kwanza reserchGoogle meno acha uvivu
Hizo hapo men,pia zipo YouTube live.Ndo we ugoogle Sana...kuna vituo vya tesla vinatumia panel za solar kuchaji gari Kama vya mafuta...hilo unaloongea Ni theory..so acha let stori za kahawa au fanya Kwanza reserch
Mfano vijijini hawana shida ya kuni au mkaa unaweza tengeneza jiko la togali za kuchomwa juu unaweka plate ya chuma ambayo sufuria ukaa juu yake ikipata Moto unapikia,pia inakuwa na oven inakuwa na mtungi wa bati au chuma kwa ajili ya kuzalisha majimoto maji Moto utumia kuuogea au maji ya kunywa unaweka bomba za kutoa mvuke uende Hadi kwenye propela propela unaiunganisha na otoneta ya kufua umeme then umeme unazichaji battery then unakuwa na inveta inaukuza umeme unatumia nyumbani,mvuke ukipoa unapita kwenye pipe unaenda kwenye mtungi unapata maji ya kunywa.