Bana likasi
JF-Expert Member
- Jan 7, 2020
- 6,926
- 6,422
Ishafanyika na ikafanya kaziTheoretical ni kweli ila ukija kwenye uhalisia sasa kuna nishati ambayo itapotea kwenye kila hatua .
Nilitaka kutia neno ila ngoja niache kwanzaMzigo huu hapa.View attachment 1465730View attachment 1465733
Wapi? Hebu weka maelezi ya kutosheleza japo na sisi wengine tukaongeze ujuzi.Ishafanyika na ikafanya kazi
Si lzm pia Google is everything,Hii akili lazima uwe umesoma physics
Zipo Ufaransa! Umeme unaopatikana unatumiwa na wananchi wa eneo hilo.Zipo barabara zinazozalisha umeme pia yaani gari ujichaji kwa kutumia barabara ambayo imetengenezwa kwa mfano wa solar panels
Weka neno mzee baba.Nilitaka kutia neno ila ngoja niache kwanza
Wapi? Hebu weka maelezi ya kutosheleza japo na sisi wengine tukaongeze ujuzi.
Chukua huu mchoro Kama we ni mtundu waweza jiundia umeme wako kwa kutumia kuni, mkaa,au oil chafuWapi? Hebu weka maelezi ya kutosheleza japo na sisi wengine tukaongeze ujuzi.
Pumbavu Sasa zinaitwaje? Muwage mnaleta habari nzimanzimaMzigo huu hapa.View attachment 1465730View attachment 1465733
Jaribu eBay au amazonPumbavu Sasa zinaitwaje? Muwage mnaleta habari nzimanzima
Dunia inaenda kasi sana ni hatari tunapo elekea huko kila siku watu waraboresha vitu.Mzigo huu hapa.View attachment 1465730View attachment 1465733
Check hizi device zinabadili joto au Moto kuwa umeme so huku unapika huku unapata mwanga,zinaitwa thermoelectric generator, unaweza ziagiza Amazon, eBay au Alibaba ukiziagiza ukazisambaza vijijini off grid kusiko na umeme utapiga Sana hela.Kuni au mkaa wako tu unapata mwanga,unachaji simu,radio nk so kutokuwa na umeme wa tanesco si kikwazo ukiwa na maranda,au pumba za mpunga makaa ya mawe tayari una umemeHabari Tanzania!
Je, una habari kuhusu bati zenye uwezo wa kuzalisha nishati ya umeme?
Teknolojia imekuwa sasa na mambo sio kama zamani.
Kwa wale wenye uwezo please fanyeni hiyo kitu jamani kwa kuwekeza hapa nchini au kuagiza kutoka ng'ambo.
Karibu!
Hizo hapo men,pia zipo YouTube live.
Gari zinajichaji kuna stick yaani Kama fimbo inakwaruza chini inadaka chaji au kupitia station maalumu za kuchajia gari
Walewale wa kudharau kwao na kusifia ya ugenini. Ni kweli hatuna kiwanda cha toothpick lakini kiberiti tunatengeneza. Kipi kikubwa kati ya hivyo vitu?Mkuu tumeshindwa kutengeneza toothpick tutaweza kuzalisha umeme wa bati au ndyo itatubidi tusubiri mabeberu ndyo waje watufungie iyo technologia.