Ngongo
Platinum Member
- Sep 20, 2008
- 20,654
- 35,887
Wakuu Mama Dr Batilda amefunga kampeni zake uwanja wa NMC kwa viroja vya aina yake.Kabla ya mkutano kuanza kuliwa na maandamano makubwa ya magari,pikipiki,baiskeli na waenda kwa miguu.
Nimeshuhudia kwa macho yangu madereva wa pikipiki wakipewa sh 5,000/= kabla ya kuanza maandamano na kumaliziwa sh 2,000/= mwisho wa maandamano.Mmliki wa kampuni ya Riverside alihusika bila shaka yoyote kutoa fedha kwa madereva wa pikipiki na baiskeli nashangaa sana TAKUKURU wanafumbia macho vitendo vya rushwa kwakuwa vinafanywa na MwanaCCM.
Riverside ilihusika pia na upelekaji wa watu kutoka Arusha kwenda Karatu kwenye mkutano wa Kikwete majuzi nashindwa kuelewa Mama Riverside ana interest gani na CCM labda wenye kujua connection zake wanaweza kutusaidia.
Najiuliza Lyimo au Lema wangefanya upuuzi anofanya Batilda tungesha wasahau siku nyingi.Sheria ya uchaguzi ipo kwaajili ya kundi fulani na kwa faida ya kundi fulani wenye akili tumeshagundua CCM haiwezi kuongoza Tanzania.
Mungu ibariki Tanzania kesho mpinzani yoyote anyakue ubunge Arusha mjini hata Lema mwenye elimu duni akishinda sitachukia.
Naomba kuwasilisha.