Elections 2010 Batilda Agoma Kusaini Matokeo!

Elections 2010 Batilda Agoma Kusaini Matokeo!

Status
Not open for further replies.
Sasa hivi CCM wako ICU wanapumulia machine..
 
Amewekeza akiba yake yote, akubali ili iweje? Maagizo ya mkurugenzi mpya ni kuwa Batilda shinde sasa kama hajamtangaza Batilda si ajira yake itakuwa matatani?
 
Jamani kwa yeyote mwenye contact za Dr Buriani, naomba mumwambie Kusign ni Bure kabisa wala asiendelee kukataa!
 
Na bado, wasi wasi wangu ni huu ucheleweshaji wa kutoa matokeo!!!

Na viongozi wastaafu kuanzan kuhangaika kila mahali!!! Wanapaswa kuelewa waTZ wanataka nn?:doh:
 
Sisi-em wamefulia takrabani maeneo yote ya nchi! Tuendelea kuimarisha upinzani, hakika mabadiliko yanakuja!
 
Kinachishangaza ni kwamba Chadema wameshinda kata 13, CCm kata 6 na TLP 1. Inawawia vigumu kuona ugumu wa kutangaza matokeo ya ubunge wa ARusha mjini hadi hivi sasa. Fujo nyingine wanawasababishia watu tu.....
 
Hivi jamani hakuna sheria zqa kuweza kumshitaki m2 kama huyu! maana hawa ndo wachafuzi wa aani, wananchi wamepiga kura wakakmchagua wanaemtaka sasa yeye anakataa kusaini anamaana gani? Au labda lazima acahaguliwe yeye??
 
Kata kumi na tano zimeenda upinzani CCM mpaka sasa wana kata nne hata meya wa jiji la Arusha atatoka CHADEMA.
 
CCM wanachelewesha matokeo ili vurugu zitokee ila wachakachue matokeo
Mpaka sasa Mwanza nako hakuja tolewa matokeo (Ilemela na Nyamagana)

nako pia wananchi wamezunguka ofisi za jiji,,,, hawaondoki hadi kieleweke.....
 
Tungekuwa na viongozi waadilifu matokeo yangeshatangazwa na huo umati ungekuwa bize na kazi ya kujenga taifa
 
Kata kumi na tano zimeenda upinzani CCM mpaka sasa wana kata nne hata meya wa jiji la Arusha atatoka CHADEMA.

sasa ni nn wanataka fujo jamani, c wasaini tu...khaaa kweli kunyang'anywa tonge mdomoni kubaya...alijiaminisha mno huyu mwanamama.
 
Sasa mbona wengine wanasema Batilda alikubali baada ya kushawishiwa na wazee ukweli uko wapi?
 
hako ka mama nako kaache aibu zake ..mwisho wa situ katasaini tu
 
Nikiskia taarifa za ms*nge mmoja kukataa kusaini matokeo halali MORI unanipanda!......wallah! TUMEZILINDA KURA ZETU, mkitaka kutunyang'anya kwa nguvu TUTAGANGAMALA!:A S angry:
 
FFU wameanza kufukuza watu waliofurika manispaa ya Arusha na yasemekana ya kuwa lowassa amefanikiwa kumshinikiza msimamizi kura zirudiwe kuhesabiwa...yaelekea janja ya CCM ni kurudia kura pale wagombea wake wameshindwa .......sasa haieleweki kama maboksi ya kura bado hayajachakachuliwa na huu utaratibu wa kuzihesabu kura tena upo kwenye sheria zipi za NEC.....................................au za uchaguzi.......huu sasa una harafu kali ya kuchakachua matokeo na vurugu yake ni Mwenyezi mungu tu ndiye atakayeiepusha
 
Status
Not open for further replies.
Back
Top Bottom