Elections 2010 Batilda buriani hakuwa na jipya?



so...either way is okay...mdahalao or no mdahalo...it goes down to the strategy of the participants...

u think its gonna help you, go for it or else forget about it.

au siyo mkuu.....
 
Amesema alikuwa mluteri akangoja wee kupata mume hakuna aliyejitokeza akaja usatadh akamwoa huyo akahamia uislam.....sikujua hili kuwa akina mama hungojea kanisani waolewe

Worse ni kwamba alisomeshwa na KKKT then akasepa .
 
Batilda Buriani ni Waziri na Lema ni mtu wa kawaida,kwahiyo waziri asingevumilia mashambulizi ya mtu wa kawaida Lema.....

Hivi hawa watu bado ni MAWAZIRI tu?? Yaani KATIBA yetu inatia kichefuchefu. Muda huu wizara zingekuwa chini ya makatibu wakuu. Sasa UWAZIRI wao unakoma lini? Siku Rais mpya atakapoamua ''kutangaza'' baraja lingine la mawaziri?

Tumpigie kura Dr. Slaa ambaye tayari ameonyesha nia ya dhati kabisa kuanzisha mchakato wa kupata KATIBA MPYA (sio kukarabati hii mbovu) ndani ya siku 100
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…