Tatizo la huyu mama Batilda ni kuwa aliotesha kibanda bungeni kwa miaka kumi na alitumia muda wake mwingi kujijenga kwa ngazi za juu kwa maana ya kupata vyeo serikalini.
Hilo alifanikiwa lakini akasahau kuwa hata hao aliokuwa akiwatumikia na kuwasujudia wapo ndani ya ajira ya mpigakura............
Alijaribu kubadilisha hoja za uchaguzi kwa kuingiza udini, ukabila na kuwasaga wanaumme wa hapa Arusha lakini wapigakura wa hapa Arusha tulikuwa na swali moja tu.......................HIVI MIAKA KUMI BUNGENI UMEFANYA NINI?
JIBU LILIKUWA NI KIGUGUMIZI....................................nasi tulipata kigugumizi kumrudisha bungeni mtu asiye na tija hata chembe zaidi ya kulinda ugali wake tu.......................