Sadiki Abdallah
JF-Expert Member
- Jul 13, 2016
- 885
- 582
hii ndio point yenyeweUingereza kuna mpira mgumu mno. Angalia toka amekuja Aubameyang ameisha funga gori moja tu aya fikiria kama bado angekuwa kule angekuwa na gori mpaka sasa
hii ndio point yenyewe
We unamuongelea fabregas veterani au? Shida yako exposure na hao mazeruzeru huna tuache sisi tuliokaaa huko tukueleze acha ubishi wa kishambaaaAkili za kibongo bana
Na Bakayoko je kupewa nafasi mbele ya Fabregas unasemaje ilo?
We unamuongelea fabregas veterani au? Shida yako exposure na hao mazeruzeru huna tuache sisi tuliokaaa huko tukueleze acha ubishi wa kishambaaa
Huyu bwana mi imeniuma sana kuondoka Emirates game kama hizi ndio zake na goli zake za kindondokela.Giroud ni mchezaji mzuri tu na leo kama atacheza dhidi ya Barcelona lazima atatupia tu.
Kwa upande Wa soka Wenger ana nizidi ila kwa human anatomy and physiology hanipatiWewe na Wenger nani ana akili?
Naye karogwa[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]Mimi nafkiria tu mtu kama Ozil anawezaje kuwa Arsenal mpaka dakika hii?