Batshuayi kwa Giroud , Conte alirogwa na nani ?

Batshuayi kwa Giroud , Conte alirogwa na nani ?

Akili za kibongo bana

Na Bakayoko je kupewa nafasi mbele ya Fabregas unasemaje ilo?
We unamuongelea fabregas veterani au? Shida yako exposure na hao mazeruzeru huna tuache sisi tuliokaaa huko tukueleze acha ubishi wa kishambaaa
 
Giroud ni mchezaji mzuri tu na leo kama atacheza dhidi ya Barcelona lazima atatupia tu.
 
Conte aliongea na Wenger [emoji28][emoji28][emoji28][emoji28] kweli wenger ni profesor
 
ngoja apangwe camp nou kisha wings wamimine krosi uone wakatalunya watakavohangaika
 
Kosa letu ni kuulizwa swali nasi tunauliza,,,ameuliza kuhusu BATSHUAYI na GIROUD,majibu ni,kwani bakayoko na fabregas,,,nk
 
Back
Top Bottom