Batshuayi kwa Giroud , Conte alirogwa na nani ?

Erythrocyte

JF-Expert Member
Joined
Nov 6, 2012
Posts
128,308
Reaction score
245,426
Kila mwenye macho bila shaka anajiuliza kama mimi .

Hivi unaacha mchezaji mzuri akatumikie mkopo halafu unachukua galasa kama lile la kazi gani ? wazungu hulogana pia ?

Kama siyo njama basi tutafute sababu , katika hali ya kawaida haiwezekani .
 
Tuna wasiwasi kua weye ndie ulierogwa. Hivi batshuayi alimuona ni mchezaji mzuri?
 
Uingereza kuna mpira mgumu mno. Angalia toka amekuja Aubameyang ameisha funga gori moja tu aya fikiria kama bado angekuwa kule angekuwa na gori mpaka sasa
Nimejikuta nacheka tu.
 
Back
Top Bottom