Battani: A e i o u, jamaa anajua huyu

Battani: A e i o u, jamaa anajua huyu

nipende kuwaambia mziki ni jambo la hisia usije hapa jf ukataka kila mtu amuelewe huyo batani wako...... japo naipenda ile nyimbo yake ya ta ta ta inafaa kutombea
Hisia wapi mkuu kula ngoma hiyo

Hisia zinaishia kwenye sita kwa sita
 
anajua sana huyo mtoto wa jazzy

tutafute hela kaka twende kwenye mashow yao
Suala la kutafuta pesa liko palepale mkuu, ila zikipatikana tatizo linabakia kwenye vipaumbele. Kama hela unayopangia kufanya vitu vya maana tu inaishia bar.

What you think will happen if You plan Otherwise?
 
Back
Top Bottom