Usb zinajua kuregulate voltage/Amps as long as router ina usb na powerbank ni usb hakuna neno.Nina pocket router huwa naitumia katika shughuli zangu, uwezo wa battery yake umeshuka na sasa inakaa masaa mawili ama matatu tu.
Nina power bank ina 10000 Mah, nataka niwe naitumia badala ya battery ya hio pocket router.
kuna sehemu imeandikwa hivi
View attachment 2602349
Je kitaalam ntakuwa nimetatua tatizo ?
Unavyo zidi kuongeza mAH maana yake unaongeza muda wa matumizi.Nina pocket router huwa naitumia katika shughuli zangu, uwezo wa battery yake umeshuka na sasa inakaa masaa mawili ama matatu tu.
Nina power bank ina 10000 Mah, nataka niwe naitumia badala ya battery ya hio pocket router.
Je kitaalam ntakuwa nimetatua tatizo ?
Power bank imeandikwa hivi mkuu, napata wasi wasi maana kwenye router imeandikwa 5V-1A.Unavyo zidi kuongeza mAH maana yake unaongeza muda wa matumizi.
Kikubwa zingatia kama Output Voltage za hiyo power bank unayotaka kutumia sasa zinaendana na kifaa chako.
Kama voltage ipo sawa basi utakua umetatua tatizo sababu the higher the mAH of a battery the more the time you get.
Karibu.
Power bank imeandikwa hivi mkuu, napata wasi wasi maana kwenye router imeandikwa 5V-1A.Usb zinajua kuregulate voltage/Amps as long as router ina usb na powerbank ni usb hakuna neno.
Haina neno as long as ni Usb kwa usbPower bank imeandikwa hivi mkuu, napata wasi wasi maana kwenye router imeandikwa 5V-1A.
Type-C Input : 5V-3A / 9V-2A
Type-C Output : 5V-3A / 9V-2.22A / 12V-1.5A
USB Output : 4.5V-5A / 5V-4.5A / 9V-2A / 12V-1.5A
Total Output : 20W
Tumia USB port output yenye 5V-4.5APower bank imeandikwa hivi mkuu, napata wasi wasi maana kwenye router imeandikwa 5V-1A.
Type-C Input : 5V-3A / 9V-2A
Type-C Output : 5V-3A / 9V-2.22A / 12V-1.5A
USB Output : 4.5V-5A / 5V-4.5A / 9V-2A / 12V-1.5A
Total Output : 20W
Ina tundu moja tu ila hilo tundu ndio limeandikiwa linatoa hizo output zote, sasa sijui powerbank itajuajeKuhusu router kundikwa 5V-1A, maana yake inahitaji supply au chanzo cha umeme chenye Volt 5 na kisiwe chini ya Ampere 1
Hivyo kwa hiyo Bank yako inafaa kama tuutatumia USB output port yenye 5V na Ampere Kuanzia 1 na kuendelea
power bank ina PD-IC, by default itatoa 5V ( kwa 4.5 amps )sasa sijui powerbank itajuaje