Battery yangu ya solar inaisha nguvu haraka

Au kama kuna mtu anajua kama kuna watu wanakopesha solar basi anipe contact zao
 
Sasa hiyo overcharging itatoka wapi wakati charger control ipo inafanya kazi ya ku control betry isiwe overcharged.
 
Sasa hiyo overcharging itatoka wapi wakati charger control ipo inafanya kazi ya ku control betry isiwe overcharged.
Mambo ya kitaalam ndugu yangu ngoja waje
 
Mambo ya kitaalam ndugu yangu ngoja waje
Waje kina nani? Au unadhani mi nimetoa hewani nilichomshauri. Mimi pia ninatumia solar huu mwaka wa pili namaliza na sijapata tatizo lolote ndio maana nimemshauri kadri ya nijuavyo kuhusu solar systrms mkuu
 
Asanteni kwa ushauri. Nitaufanyia kazi
Charger control zipo nzuri tu za India hadi 30,000 na warranty one year usiwe mvivu tu wa kutozunguka madukani. Nenda maduka ya wahindi kkoo wana vifaa vyote vya solar, unaweza zunguka maduka hata maduka 20 hafu utagundua vifaa vya solar vipo vingi na bei tofauti tofauti.
 
Charger control ninayo na ipo installed katika system.
Mwanamalumbe we unajua kumbe drycell ndo nzuri, mimi shamba napokaa nawashkaji kama watano tulinunua la solar pamoja ila wao wakajifanya wajuaji wakachukua betry za maji ila mimi nikachukua drycel, basi jamaaa wote sasa hivi betry zao zishakufa na wananiletea smartphone zao niwachajie kwangu
 
Daah boss langu ni N100 dukani wanauza 350,000 tsh na hali yangu kiuchumi si nzuri kabisa, ngoja tusubili wajuzi waje huwezi juwa twaweza pata solution.
Aina gani!?
 
Daah boss langu ni N100 dukani wanauza 350,000 tsh na hali yangu kiuchumi si nzuri kabisa, ngoja tusubili wajuzi waje huwezi juwa twaweza pata solution.
Ni aina gani hiyo betr!?
 
Nunua dry cell kampuni ya ritar pamoja na charge controller utakuwa fain
 
Hata mimi yangu ilikufa kutokana na kuitumia hadi kuisha chaji na pia kuchaji bili control bt kwa sasa nina ingine
 
Sikia wewe ndo umeiua hiyo battery. Kwenye maji ya betri kuna vitu viwili yaani surfuric acid mfumo wa unga kama chumvi na maji ya kawaida
 
Ukiongezea acid unakuwa una invert physics kwa sababu acid itazidi na kuleta madhara kwenye celi za betri yako
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…