Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Sasa hiyo overcharging itatoka wapi wakati charger control ipo inafanya kazi ya ku control betry isiwe overcharged.Sikushauri ununue dry cell hata kidogo, kwani battery hizi si nzuri licha ya kusema kwamba haihitaji matengenezo. Huwa batery dry hufa mapema kabla ya acid na huweza kupasuka kwani ziko sealed hivyo hewa hushindwa kutoka hasa kunapokuwa na overcharging.
Waje kina nani? Au unadhani mi nimetoa hewani nilichomshauri. Mimi pia ninatumia solar huu mwaka wa pili namaliza na sijapata tatizo lolote ndio maana nimemshauri kadri ya nijuavyo kuhusu solar systrms mkuuMambo ya kitaalam ndugu yangu ngoja waje
Charger control zipo nzuri tu za India hadi 30,000 na warranty one year usiwe mvivu tu wa kutozunguka madukani. Nenda maduka ya wahindi kkoo wana vifaa vyote vya solar, unaweza zunguka maduka hata maduka 20 hafu utagundua vifaa vya solar vipo vingi na bei tofauti tofauti.Asanteni kwa ushauri. Nitaufanyia kazi
Mwanamalumbe we unajua kumbe drycell ndo nzuri, mimi shamba napokaa nawashkaji kama watano tulinunua la solar pamoja ila wao wakajifanya wajuaji wakachukua betry za maji ila mimi nikachukua drycel, basi jamaaa wote sasa hivi betry zao zishakufa na wananiletea smartphone zao niwachajie kwanguCharger control ninayo na ipo installed katika system.
Aina gani!?Daah boss langu ni N100 dukani wanauza 350,000 tsh na hali yangu kiuchumi si nzuri kabisa, ngoja tusubili wajuzi waje huwezi juwa twaweza pata solution.
Ni aina gani hiyo betr!?Daah boss langu ni N100 dukani wanauza 350,000 tsh na hali yangu kiuchumi si nzuri kabisa, ngoja tusubili wajuzi waje huwezi juwa twaweza pata solution.
Sikia wewe ndo umeiua hiyo battery. Kwenye maji ya betri kuna vitu viwili yaani surfuric acid mfumo wa unga kama chumvi na maji ya kawaidaHabari wana jf?
Battery yangu ya solar imekuwa ikipoteza nguvu ndani ya masaa mawili baada ya kuwa full charged, ni battery ya maji (acid) na pia nimeshawahi kuiongezea maji(acid) mara mbili kwa kipindi tofauti ila hakuna improvement. Je kunautalam wowote naweza kufanya ikarudia hali yake hata kwa 50 -70%?. Nawasilisha hoja