Kichwa Ngumu
JF-Expert Member
- Nov 6, 2010
- 1,726
- 314
Pasi inatumia moto mwingi sana, Ita drain power ndani ya muda mfupi sana mkuu. Hebu jaribu kuangalia pasi yako ina watt ngapi na itadrain kiasi gani cha nishati kwa saa.Wadau nina betry ya Sola dry mbili zote za n 100 jumla Nina n 200 na pannel mbili za 120 jumla 240 .
nina taa 13 za wats 5 na 3 na TV. Je naweza tumia pasi za DC
Sina pasi ila nataka kununua so nataka kujua kama inawezekana au la haiwezekani. Na ninunue ya WATS ngapiPasi inatumia moto mwingi sana, Ita drain power ndani ya muda mfupi sana mkuu. Hebu jaribu kuangalia pasi yako ina watt ngapi na itadrain kiasi gani cha nishati kwa saa.
Kuna pasi za solar zina watts 150, zile za umeme ni zaidi hapo hadi watts 1000 zipo.Sina pasi ila nataka kununua so nataka kujua kama inawezekana au la haiwezekani. Na ninunue ya WATS ngapi
Tafuta inveta ndio kazi yake ya kubadili dc kuwa ac.Hivi hakuna kifaa kinachoweza kubadili solar current ya DC kwenda AC!
Maana hii solar niliyofunga ni DC tu mpaka nashindwa kutumia vifaa vingine kama laptop!
Sijui mfumo gani huu wa solar sikuwahi kuushuhudia kabla! Inanipa shida kweli
Akifunga charger controller inatosha pannel haitanyonya chargekama walivyokushauri kachaji betri katika battery charger.kwa ushauri wangu pia uangalie inatumia masaa mangapi.Pia kawaida solar panel inakawaida ya kurudisha/ kunyonya nguvu ya betri inapokosa jua.,Sasa nakushauri ufunge diode katika waya (live)unaotoka ktk panel kwenda ktk betri
Pia angalie kwani hat hiyo inverter inakula charge cha msiingi aangalie matumizi yake na achujuwe inverter ndigo ya w150Tafuta inveta ndio kazi yake ya kubadili dc kuwa ac.
Kama uko Dar nenda pale Chloride Exide Shekilango, Ubungo MILLENIUM park ( zamani uchumi supermarket)/opposite na Dar express watakupatia ushauri mzuri wa kitaalam.Mwanzo ilikuwa na acid nikajuwa acid ndo suruhisho, au nimwage niweke distilled water? Battery nimekaa nayo miaka miwili.
Ahsante mkuu! Sasa hii kitu nitaifunga sehemu gani? Maana Betti yake ni kadude Fulani kama mita za tanesco!Tafuta inveta ndio kazi yake ya kubadili dc kuwa ac.
Unaifunga kwenye temino ya betri yako, kama utapata mtaalamu wa kusuka inveta itakuwa bora kuliko kununua hizi za dukani. Za dukani umeme ukizidi huwa zinaungua.Ahsante mkuu! Sasa hii kitu nitaifunga sehemu gani? Maana Betti yake ni kadude Fulani kama mita za tanesco!
Kutoka hapo ndio kila kitu kinagawanyika yaani nyaya za taa Na kwenda kwenye TV Na kingamuzi!
Nisaidie mkuu hii kitu inanipa shida sana
Kuhusu kula chaji mi sijui lolote. Mi nilikuwa na stabilizer ya watts 2000, nikampelekea fundi akaisuka upya itumike kama inveta, nina miaka 3 naitumia kama inveta na betri ni n70, kuna muda huwa nawasha laptop kuanzia mida ya saa 2 usiku hadi asubuhi nikiwa nadownload ikiwa kwenye chaji na asubuhi naunganisha tv radio na king'amzi na usiku taa huwa zinakesha na sijawahi kupungukiwa chaji.Pia angalie kwani hat hiyo inverter inakula charge cha msiingi aangalie matumizi yake na achujuwe inverter ndigo ya w150
ukisema betri ya watts 100 ndo unamaanisha nini mbona betri hazipmwo hivo au unamaanisha 100AhPanel Wat 90 battery Wat 100 hii uimekaaje
System yako haipo well sized.Sola yangu watt 150,na betri N 100,sola kwa sasa haipeleki moto kwenye betri,tatizo ni nn?
Habari wana jf?
Battery yangu ya solar imekuwa ikipoteza nguvu ndani ya masaa mawili baada ya kuwa full charged, ni battery ya maji (acid) na pia nimeshawahi kuiongezea maji(acid) mara mbili kwa kipindi tofauti ila hakuna improvement. Je kunautalam wowote naweza kufanya ikarudia hali yake hata kwa 50 -70%?. Nawasilisha hoja
Mkuu wewe ndo uliyeiua hiyo battery, kwenye hayo maji makali unayoweka kwenye battery kuna vitu viwili yaan maji safi na surphuric acid, sasa maji yanapopungua hautakiwi kuongeza maji makali kwani unaiover voltage battery yako sababu surphuric huwa haiishi bali maji. Ikiwa overvoltage inakata cells polepole mpaka zitakatika zote ziishe. Hivyo everytime ongeza maji baridiHabari wana jf?
Battery yangu ya solar imekuwa ikipoteza nguvu ndani ya masaa mawili baada ya kuwa full charged, ni battery ya maji (acid) na pia nimeshawahi kuiongezea maji(acid) mara mbili kwa kipindi tofauti ila hakuna improvement. Je kunautalam wowote naweza kufanya ikarudia hali yake hata kwa 50 -70%?. Nawasilisha hoja
Panel watt 90 boss.
Kwa hiyo nifanye nn? Maana nimejaribu, kuchaji bila kaunganisha chombo chochote lakini bado,haichajiSystem yako haipo well sized.