Battery yangu ya solar inaisha nguvu haraka

Battery yangu ya solar inaisha nguvu haraka

Wadau nina betry ya Sola dry mbili zote za n 100 jumla Nina n 200 na pannel mbili za 120 jumla 240 .
nina taa 13 za wats 5 na 3 na TV. Je naweza tumia pasi za DC
 
Wadau nina betry ya Sola dry mbili zote za n 100 jumla Nina n 200 na pannel mbili za 120 jumla 240 .
nina taa 13 za wats 5 na 3 na TV. Je naweza tumia pasi za DC
Pasi inatumia moto mwingi sana, Ita drain power ndani ya muda mfupi sana mkuu. Hebu jaribu kuangalia pasi yako ina watt ngapi na itadrain kiasi gani cha nishati kwa saa.
 
Pasi inatumia moto mwingi sana, Ita drain power ndani ya muda mfupi sana mkuu. Hebu jaribu kuangalia pasi yako ina watt ngapi na itadrain kiasi gani cha nishati kwa saa.
Sina pasi ila nataka kununua so nataka kujua kama inawezekana au la haiwezekani. Na ninunue ya WATS ngapi
 
Sina pasi ila nataka kununua so nataka kujua kama inawezekana au la haiwezekani. Na ninunue ya WATS ngapi
Kuna pasi za solar zina watts 150, zile za umeme ni zaidi hapo hadi watts 1000 zipo.

------------------------
Mi naomba ufafanuzi wa betri la dry linatakiwa liweje, kuna siku nilienda dukani kununua betri nikaomba la dry nikapewa ambalo kwa ndani lina maji halafu kwa juu kuna tundu lililofunikwa na kioo kama lenzi nikalikataa, nikazunguka maduka mengi na wote wananipa ya hivyo hadi nikaamua kununua la kujaza maji ya acid.

Betri hili nimelitumia baada ya mwaka nikataka kubadilisha maji, baada ya kulifungua nikakuta maji yote yalikauka nikaweka mengine. Je, kiutaalam maji yanatakiwa yabadirishwe baada ya muda gani? Na kutumia hadi maji kuisha betri haliwezi kufa?
 
Hivi hakuna kifaa kinachoweza kubadili solar current ya DC kwenda AC!
Maana hii solar niliyofunga ni DC tu mpaka nashindwa kutumia vifaa vingine kama laptop!
Sijui mfumo gani huu wa solar sikuwahi kuushuhudia kabla! Inanipa shida kweli
 
Tafuta inveta ndio kazi yake ya kubadili dc kuwa ac.
 
kama walivyokushauri kachaji betri katika battery charger.kwa ushauri wangu pia uangalie inatumia masaa mangapi.Pia kawaida solar panel inakawaida ya kurudisha/ kunyonya nguvu ya betri inapokosa jua.,Sasa nakushauri ufunge diode katika waya (live)unaotoka ktk panel kwenda ktk betri
Akifunga charger controller inatosha pannel haitanyonya charge
 
Tafuta inveta ndio kazi yake ya kubadili dc kuwa ac.
Pia angalie kwani hat hiyo inverter inakula charge cha msiingi aangalie matumizi yake na achujuwe inverter ndigo ya w150
 
Mwanzo ilikuwa na acid nikajuwa acid ndo suruhisho, au nimwage niweke distilled water? Battery nimekaa nayo miaka miwili.
Kama uko Dar nenda pale Chloride Exide Shekilango, Ubungo MILLENIUM park ( zamani uchumi supermarket)/opposite na Dar express watakupatia ushauri mzuri wa kitaalam.
 
Tafuta inveta ndio kazi yake ya kubadili dc kuwa ac.
Ahsante mkuu! Sasa hii kitu nitaifunga sehemu gani? Maana Betti yake ni kadude Fulani kama mita za tanesco!
Kutoka hapo ndio kila kitu kinagawanyika yaani nyaya za taa Na kwenda kwenye TV Na kingamuzi!
Nisaidie mkuu hii kitu inanipa shida sana
 
Unaifunga kwenye temino ya betri yako, kama utapata mtaalamu wa kusuka inveta itakuwa bora kuliko kununua hizi za dukani. Za dukani umeme ukizidi huwa zinaungua.
 
Pia angalie kwani hat hiyo inverter inakula charge cha msiingi aangalie matumizi yake na achujuwe inverter ndigo ya w150
Kuhusu kula chaji mi sijui lolote. Mi nilikuwa na stabilizer ya watts 2000, nikampelekea fundi akaisuka upya itumike kama inveta, nina miaka 3 naitumia kama inveta na betri ni n70, kuna muda huwa nawasha laptop kuanzia mida ya saa 2 usiku hadi asubuhi nikiwa nadownload ikiwa kwenye chaji na asubuhi naunganisha tv radio na king'amzi na usiku taa huwa zinakesha na sijawahi kupungukiwa chaji.
 
Sola yangu watt 150,na betri N 100,sola kwa sasa haipeleki moto kwenye betri,tatizo ni nn?
 
Hapo kuna matatizo kama matatu hivi
Moja nikwamba betri liwe la solar au la gari acid inapopungua wakati wa matumizi huwa linajazwa na maji baridi(distilled water) ukiweka acid huwa linaharibika.

Kitu cha pili battery capacity huwa inabadilika kulingana na kiwango cha joto so unashauriwa kutoliweka betri lako kwenye sakafu maana huwa inakuwa ya baridi sana.

Kitu cha tatu nikuangalia betri size yako kama linaendena na matumizi ya vifaa vyako( battery sizing).
Habari wana jf?
Battery yangu ya solar imekuwa ikipoteza nguvu ndani ya masaa mawili baada ya kuwa full charged, ni battery ya maji (acid) na pia nimeshawahi kuiongezea maji(acid) mara mbili kwa kipindi tofauti ila hakuna improvement. Je kunautalam wowote naweza kufanya ikarudia hali yake hata kwa 50 -70%?. Nawasilisha hoja
 
Mkuu wewe ndo uliyeiua hiyo battery, kwenye hayo maji makali unayoweka kwenye battery kuna vitu viwili yaan maji safi na surphuric acid, sasa maji yanapopungua hautakiwi kuongeza maji makali kwani unaiover voltage battery yako sababu surphuric huwa haiishi bali maji. Ikiwa overvoltage inakata cells polepole mpaka zitakatika zote ziishe. Hivyo everytime ongeza maji baridi
 
Nina betri N70 na panel w80 natumi feni w16 na bafu na ta mbili w5 kwa maumizi hayo betri yngu inaweza ikawasha kwa pamoja kwa mda gani
 
Back
Top Bottom