Battle: Chemical vs Rosa Ree

Battle: Chemical vs Rosa Ree

NANI MKALI?


  • Total voters
    8
Mbona wote wateja tu kwa harmo rapper halafu wote eti wana katabia kakufanana maana ni wasagaji wazuuuri wa mpunga
 
Mmmhh seriously Chemical namuelewa ana mziki mzuri ila being frank huyu Rosa ree daim it yupo njema aisee...utazani kazaliwa Braebun vile.? Ki industry ata heat ndani na nje cause hata english yake ipo straight na yakueleweka...oouuhh UP IN DE AIR
Inaitwa HIT sio heat mkuu...i.e. Hit song not heat songs...kama nimekukwaza nisamehe
 
Mimi ni shabiki la kutupwa la Rosa Ree...she got swagg yani kila kitu kipo on point.
Nikiaangalia Up in the air nahisi kama sipo Tzee,sio kwa swaga zile mama.

Hakuna kama Rosa Ree nchi hii,kumpambanisha na Chemical ni kumvunjia heshima.
 
naona team Rosa Lee mmejianzishia kijiuzi

furesh
 
My fave song...uuuuhhhh
Up in the air
Damn! Huyu binti yuko njema bwana.
Namuona Nick Minaj ndani yake.
At least sasa wanawake tunaweza kujiproud kwenye rap tunaweza [emoji6]
Nahreel ana vitu adimu aisee.. Hii biti alisimama ..
 
Jamani Witness kibonge nae si mchezo kwa kuchana na kucheza ,tena anazimudu lugha nyingi.

Kwangu 1.Rosa Ree 2. Witness 3. Chemical
 
Rosa is the illest female Emcee in Bongoo.. Chemical ni local lakini mziki wake hauwezi vuka boda ila wa Rosa ule mziki ni international. Ni mziki wa class fulani watoto wa uswazi hawawezi kumuelewa😀😀
 
Rosa ree habari nyingine aisee...chemical atasubiri sana
 
Rosa lee habari nyingine ingaea sijawahi kusikia nyimbo zake
 
Mmmhh seriously Chemical namuelewa ana mziki mzuri ila being frank huyu Rosa ree daim it yupo njema aisee...utazani kazaliwa Braebun vile.? Ki industry ata hit ndani na nje cause hata english yake ipo straight na yakueleweka...oouuhh UP IN DE AIR
Yeah na Trace wanapenda sana kupiga nyimbo zake
 
Back
Top Bottom