dar ukitaka kushindana nayo changanya mombasa,nairobi na kisumuView attachment 478591
huna lolote unatuletea link za 2000 now tuko 2017 nairobi kwa dar inaingia mara 2 na nusu utake usitake ukweli ndio huo kama hutaki google iwe mwalimu wakoHhahahahahah!! Tulia bana, subiri ujielewe, mbona unambio hivi??
Tumekwambia uwache kukurupuka, we ni mgeni hapa na tunaona hujielewi!!! Tulia usome nyuzi tangu mwanzo hadi mwisho. ukielewa kitu unafany rudi hapa!!
huna lolote unatuletea link za 2000 now tuko 2017 nairobi kwa dar inaingia mara 2 na nusu utake usitake ukweli ndio huo kama hutaki google iwe mwalimu wako
wewe si ulisema unahamia nairaland....kulikoni Leo umerudi hapa?.Bado ulimbukeni unakuzuzua, utapata dawa tu na itakuingia taratibu, kisha utulie, uliza wenzako walio kuja na hizo mbio za kupost vipicha vya hizo nyumba kumi na mbili na BRT, Kisha wakimaliza wanapata tunaendelea tu kupost. Hatuwezi rudia Nairobi vs Dar, Wala Mlmbasa vs Dar, tulimaliza, ukitaka ushindani, leta Dar Vs Kisumu, hapo tutarudi.
Sababu wataka kujionea, soma huu huu uzi, hizo picha zote umepost ziko humu humu kwenye huu uzi!!
Sasa utakuwa ukifanya nini ukianza kupost picha ziko hapa na zinajirudia mara kama kumi kila moja??????
Acha ulimbukeni
wewe si ulisema unahamia nairaland....kulikoni Leo umerudi hapa?.
Wewe si ulikimbia hii battle. Kila siku unaonesha barabara. Dar inamambo mengi sana zaidi ya Nairobi. Nilikuuliza uniambie ni kitu gani kipo Nairobi Dar hakipo.Bado ulimbukeni unakuzuzua, utapata dawa tu na itakuingia taratibu, kisha utulie, uliza wenzako walio kuja na hizo mbio za kupost vipicha vya hizo nyumba kumi na mbili na BRT, Kisha wakimaliza wanapata tunaendelea tu kupost. Hatuwezi rudia Nairobi vs Dar, Wala Mlmbasa vs Dar, tulimaliza, ukitaka ushindani, leta Dar Vs Kisumu, hapo tutarudi.
Sababu wataka kujionea, soma huu huu uzi, hizo picha zote umepost ziko humu humu kwenye huu uzi!!
Sasa utakuwa ukifanya nini ukianza kupost picha ziko hapa na zinajirudia mara kama kumi kila moja??????
Acha ulimbukeni
We mzabizabina kama wazabizabina wengineLimbukeni wote ni wana Dar is slum,al maharufu walatope.Hohoho!
Na ukitaka mm na we tuendelee mjadala weka dar vs Nai mombasa and kisumu alaf nikufundishe somo uelewe vzrBado ulimbukeni unakuzuzua, utapata dawa tu na itakuingia taratibu, kisha utulie, uliza wenzako walio kuja na hizo mbio za kupost vipicha vya hizo nyumba kumi na mbili na BRT, Kisha wakimaliza wanapata tunaendelea tu kupost. Hatuwezi rudia Nairobi vs Dar, Wala Mlmbasa vs Dar, tulimaliza, ukitaka ushindani, leta Dar Vs Kisumu, hapo tutarudi.
Sababu wataka kujionea, soma huu huu uzi, hizo picha zote umepost ziko humu humu kwenye huu uzi!!
Sasa utakuwa ukifanya nini ukianza kupost picha ziko hapa na zinajirudia mara kama kumi kila moja??????
Acha ulimbukeni
Anaoneshwa vitu kwao havipo anaanza kusingizia hapa hakuna porojo weka facts sio unageukageuka kama kuku mwenye nyegeWe mzabizabina kama wazabizabina wengine
Wapi utaona hvo vitu na ujanja wako wrote wapi utaona we kimbia tanzania ndio maana mumejaa huku hamutaki kurudi kwenu ahahhaahaHhahahahahah!! Tulia bana, subiri ujielewe, mbona unambio hivi??
Tumekwambia uwache kukurupuka, we ni mgeni hapa na tunaona hujielewi!!! Tulia usome nyuzi tangu mwanzo hadi mwisho. ukielewa kitu unafany rudi hapa!!
Watoe wapi wakat hawana kelele tu zimewajaa eti wanatuletea link za 2000 wakat tuko 2017Wewe si ulikimbia hii battle. Kila siku unaonesha barabara. Dar inamambo mengi sana zaidi ya Nairobi. Nilikuuliza uniambie ni kitu gani kipo Nairobi Dar hakipo.
Dar kuna vitu vingi sana Nairobi hakuna
mf:
1. Dar - Beaches
2. Dar - Nyerere Bridge
3. Dar - Islands
4. Dar - BRT
5. Dar - Marine Receive
6. Dar - Boats
7. Dar - Port
8. Dar - Glass Buildings
Hivyo nimekupa vichache tu. Haviko huko Nairobi. Hebu leta vya Nai ambavyo havipo bongo.
Ndio maana mademu zenu wanapenda wabongo coz wanajua kuvaa wanazo swaga sio nyie mchana jua Kali uvae suti ili uonekane mzungu akili au uharoLimbukeni wote ni wana Dar is slum,al maharufu walatope.Hohoho!