Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

Wat

Watoe wapi wakat hawana kelele tu zimewajaa eti wanatuletea link za 2000 wakat tuko 2017

We ni mgeni, acha ushamba wako hapa, huu uzi uko kwenye kurasa wa 106, enda soma tangu kurasa wa 1, usitochoshe hapa na ulimbukeni wako
 
We ni mgeni, acha ushamba wako hapa, huu uzi uko kwenye kurasa wa 106, enda soma tangu kurasa wa 1, usitochoshe hapa na ulimbukeni wako
Nimesoma sana kwanzia mwanzo nikaona mushazidiwa sasa nilikuja kumaliza kazi na kufunga ukurusa na nondo nishawateremshia hahahhahhaa
 
Hahahaha!!! Bongo raha sana ndiyo maana amekomaa hapa hapa.
hahaha hii issue ya madaktari toka bongo kwenda kuwatibu wakenya wengi ambao ni masikini(kundi la kina depay na wanjala),itakuwa imewauma sana hawa jamaa.
 
asa wew ulivyotuma ndyo umeona vyakijanjaa mwenyewe kweli we wakale...unashow hyo golf ground ya aina hyo na hayo majengo unasema yakisasa....unanisikitisha we mkenya
 
asa wew ulivyotuma ndyo umeona vyakijanjaa mwenyewe kweli we wakale...unashow hyo golf ground ya aina hyo na hayo majengo unasema yakisasa....unanisikitisha we mkenya
Leta golf course ya tz ...tuione hiyo yenyu
 
Upuuzi tu huomji wa kigamboni unaanza kujengwa mwakagani au mnataka kuwadanganya wakenya
 
Upuuzi tu huomji wakigamboni unaanza kujengwa lini au mtaka kuwadanganya wakenya
 
hizo zipo mingi tena sana can't even name them all, kwani unadhani hatuna decoders. Such a petty argument. Personally I use Safaricom decoder.
duuh hadi mtandao wa simu umewasaidia kuipa brand decorder kweli nyie ndizi mbovu
 
ha haaa kuwa mpole utaumia
 
ebu tueleze tukuelewe...Tanzania inatuogopesha kwa lipi
cha kwanza kijeshi mkileta longolongo tunawabonda bonda sekende cha pili iko waz nyie wakenya macho yenu yote yapo tanzania kiushindan mnahofia sana tukija kuwapita kiuchumi hilo halina ubishi maana mnaoipinga ni TZ tu kwa nin isiwe uganda
Tanzania inawaogopesha sana munatapatapa sana hahaha eti mlivosain epa mukajua na tanzania watasaini hahaha tumechomoa na Uganda wamechomoa sisi tunataka viwanda na ajira kwa vijana sio porojo
 
Nimesoma sana kwanzia mwanzo nikaona mushazidiwa sasa nilikuja kumaliza kazi na kufunga ukurusa na nondo nishawateremshia hahahhahhaa

Kama umesoma mbona unarudia vitu vimepostiwa hapa mara ishirini?? Ukipost boat?? Akili yako itakuwa inakwambia uzi unasema nini?? Tena ndani ya boat, isaidieaje??? Sisi tupige picha ndani ya ndege za KQ tukisema hiyo Ni Nairobi??? Kama hakuna cha ziada kupost tulienda viundwe, kama hamna rudi vijiweni ukachonge!!

Unajua mfano hiyo airport umepost pale ilikuwa kwenye kurasa za kwanza sita za uzi huu, hadi waleo ni picha hizohizo, maanake, bado haijakamilika, Tangu isemekane inaundwa,

1. isiolo International Airport imeisha
2. Two Rivers imeisha
3. JKIA Terminal 1A, B, C zikaisha
4. Moyale Meru Road 800km ikaisha
5. Southern Bypass ikaisha
7. Outer Ring Road ikaanza na sasa inakamilika!!

Wewe unarudi hapa na wimbo uleule! Tulia bana, jua watu walivyo halafu makinika uache ulimbukeni jukwani
 
cha kwanza kijeshi mkileta longolongo tunawabonda bonda sekende cha pili iko waz nyie wakenya macho yenu yote yapo tanzania kiushindan mnahofia sana tukija kuwapita kiuchumi hilo halina ubishi maana mnaoipinga ni TZ tu kwa nin isiwe uganda
Longolongo ni zako wewe, we mwehu, nini? Chengdu yaweza kushtua Wakenya??
 
asa wew ulivyotuma ndyo umeona vyakijanjaa mwenyewe kweli we wakale...unashow hyo golf ground ya aina hyo na hayo majengo unasema yakisasa....unanisikitisha we mkenya
We ajab yako kutoelewa!! Mwalimu wako alipata shida sana wewe!! Soma hapo nimeandika nini!!! Ok huelewi, nimekupangia vitu vichache kuonesha jiji la Nairobi kujitosheleza, Barabara, hoteli, makaazi, ofisi, burudani nk. sio eti ni hizo tu, ila kutoa mifano tu!!
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…