Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

Ila sio siri dar inakua faster sana,uezi kuamini Hapokei kwenye open space ukiliona gorofa linaloendelea kujengwa
ndio kitu kinachowaumiza wakenya wao wanafkiria ni ile tanzania ya 90s hahahahahahaha we kariakoo na ukubwa wake wote 95% magorofa unafanya mchezo
 
It's a fact, angalia major cities vile ziko....
Kampala planning Yao inawashinda kumbe ata
 
It's a fact, angalia major cities vile ziko....
Kampala planning Yao inawashinda kumbe ata
wewe sema ushazidiwa tuendelee na mambo mengine bado tu hukos sababu wenzako wamefunga midomo yao kimya na kwa ukubwa wa dar siwez kuimaliza leo wala kesho bado sijafika hata quater
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…