Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

Nataka muoneshe bunge lenu maana nyumba za polisi mumekataa kuionesha au ndio wanaish kibera hahahah
 
Fananisha alaf utupe jibu mwenyewe hahahahahha

Tihahahhaaaaa..... Vijana wa Bashite si mko na Bundles za kuwaste kulitetea jiji ambalo ni 70%.....Wewe unaishi makaburini au gongolamboto?? ?
 
Tihahahhaaaaa..... Vijana wa Bashite si mko na Bundles za kuwaste kulitetea jiji ambalo ni 70%.....Wewe unaishi makaburini au gongolamboto?? ?
Kaulize gongo la mboto majumba yalivoangushwa ya adabu huku watu wanajenga vibaya mno sio nyie munaish kama mumekufa
 
Kaulize gongo la mboto majumba yalivoangushwa ya adabu huku watu wanajenga vibaya mno sio nyie munaish kama mumekufa

Hahaha.... Hamna chochote nyie. Acheni aibu ya pesa nane..... Dar es salaam is the slummiest city on earth. Take that to bank
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…