Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

Hiyo nairobi yenyewe sina ninachoona zaidi twiga hao wanaodoea breakfast ya hao wazungu hapo.......twiga wa nairobi ndio waroho namna hii ?
 
Tuanze kuwekeana Link
Mbuzi wewe
Nyumba za Mabati kuanzia chini
et uchumi wa kati!!
Hahaha uchumi gani wanao hawa uchum wote wakenya wamebeba wageni sio wazawa, wao wamebakia kusema Kenya airways yakwetu wakat 27% KLM Kenya 29% zilizobaki zote za wanaume kutoka nje na ndege zote ni za kulease anaebisha apanue mdomo nimfungulie kitabu tanzania tunanunua ndege cash in hand na bado tumeagiza zingine 5 cash in hand ikiwemo dream liner
 
Unafkiri tanzania wataacha kujenga nyumba nzuri nzuri wakat mfuko wa cement 50kg tunanunua 400 ya Kenya vat inclusive hahahhaha kibera naona zile ni zizi za mbuzi na kondoo
 
Tanzania hakuna binaadamu anaishi nyumba ya bati inamaana hata kujenga kwa tope imeshindikana haahaha alaf Nairobi is 3.5 it means 2.5m wako kibera ahahahhahaha aise duhhhh wageni wamejaa kushika uchumi wote wakenya wazawa wakenya ndio wako kibera hhahhahaha
 
Wewe kunguni huijui Manzese
unadhani Manzese ya 2017 ni ya 2000!!

Njoo ulinganishe manzese hii ya sasa na Kibera!!!


MANZESE DAR ES SALAAM



NJOO NAIROBI

JEHANAM
Nilimwambie mm manzese Sikh hizi watu wanajenga magorofa akadhani namtania ndo hio sasa ajionee
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…