Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

Kama mambo ya kupost umeishiwa si uache tu, sasa hii mambo ya tuta.....ita... ujinga gani huu! Weka picha achana na renders.
Nani amekwambia renders wakat nakwambia kitu kiko under construction we unaumwa nn nakwmbia hio ni project iko under construction since last year huamini au hahahahhaha
 
Kwakweli icho, kwa shughuli uliyoileta plus ile ya motochini,ni kichaa tuh au punguwani toka kenya ndio anaweza endelea bishana hapa, hivyo kuanzia sasa mkenya yeyote atakayeleta kapost kake kushindanisha dar na kijiji cha nairobi ni direct chizi psychiatric milembe au muhimbili inamhitaji..!! Hizo link ulizoshare icho ni chache sana,ila zinawatosha sana hao punguwani wa afrika mashariki! Tuliwaambia Dar ni bahari nairobi wanaweza kudeki bahari..!? We were silent cuz tuliwapuuzia lakin wakataka kutushika shurubu, ngoja tuwanyoe sasa...!!
 
hebu tel me nai population is 3.5m, wakat kibera kuna 2.5million + mathare 0.5million+matopeni 30000 people so hao waliobaki ndio wako mjini mm hua nawaambia uchumi wao 70% umeshikwa na wageni na hua hawakubali
 
hebu tel me nai population is 3.5m, wakat kibera kuna 2.5million + mathare 0.5million+matopeni 30000 people so hao waliobaki ndio wako mjini mm hua nawaambia uchumi wao 70% umeshikwa na wageni na hua hawakubali
Kibera ina 250k people, not 2.5 million.There is no logical way all those guys can fit kwa that small area. Hizo stats zako umezitoa wapi. Hio ndio size ya kibera. The real size. Wacha pang'ang'a. Ona the nice areas around Kibera. Estimate the size
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…