Karibu tena na ukija uje na adabuKweli hii battlefield
Kwanza umeona sisi hatuish kwenye zile zizi za nguruwe kama za kibera, nyumba zetu zote blocks heheheheYa Dar is slum ni ya ajabu. Jiji nzima...
View attachment 480598
View attachment 480599
View attachment 480600
Kwanza umeona sisi hatuish kwenye zile zizi za nguruwe kama za kibera, nyumba zetu zote blocks hehehehe
Hii ndio slum ya ajabu duniani inayoongoza na kushangaza dunia, na watu hua wanajiuliza hapo wanakaa binaadamu au nguruwe, the biggest slum in the world, hio ndio kibera nairobi with a population of 2.5 million poor kenyans
View attachment 480615 View attachment 480616 View attachment 480617 View attachment 480618 View attachment 480619 View attachment 480620 View attachment 480621 View attachment 480622
Kama nilivo zungumza awali hawa hua wamekaririshwa kua waamini wao sikuzote wako juu kwa kila jambo alaf mtu anakufata anakwambia Kenya iko middle economy wapi umeskia nchi ya middle economy inatangaza njaa, nchi INA gap kubwa kati ya maskini na tajiri alaf anakwambia middle economy hehehhe kwa kujisifia tu hawajamboWengi wanashindwa kutofautisha kati ya slums na unplanned settlements. Tanzania kuna unplanned settlements na si slums.
Nitaeleza wakati mwingine characteristics za slums.
wametuomba madaktari kutoka tanzania kwakua sisi hatuna roho za korosho tutawapa tuI
Imagine watu wanakaa kwenye risky and unpleasant environment kama hii..... halafu madaktari wanagoma kwa zaidi ya robo mwaka.
hahaha kabisa waache kwenye uchaguzi wauwane kwanza sisi tuendelee kujenga nchi ya viwandaHatuwapi ndugu. Waaache nyodo zao hiki ni kipindi cha uchaguzi wasije wakawachinja Madaktari wetu.
Hii makala uliisoma au ulikurupuka tu na kuweka hapa bila kujua kilichoandikwaTop 10: Africa's 'Cities of Opportunity'
Top 10: Africa's 'cities of opportunity' - CNN.com
Deal with Kampala first kabla uje ubishane na mamba.
Unadhani sijui kusoma, ama unadhani nilikua nashare link kama njugu? Think twice.Hii makala uliisoma au ulikurupuka tu na kuweka hapa bila kujua kilichoandikwa