LightYagami
JF-Expert Member
- Dec 6, 2016
- 2,825
- 1,493
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
kwan mm hua nakuomba ww upost picha za kibera au mathare , na nikikuomba utapost kwani? munahangaika kuitafuta dar hahahaIchiboy post streets na avenues za Dar tuzione
Hapa tunataka picha hayo maelezo yasiyo na source wala research hayana chochote. Battle ipo wewe leta references za maana.View attachment 480782 Naona mko na better scenery pekee, hapo Dar imetoa Nairobi. Hizo cartegories zingine Nairobi beats your Dar hands down. Even other towns. Not a fan boy
Hata Mumbai na Mexico city pia Cape Town wana slums kubwa sana. Hio argument ni invalid my friendkwan mm hua nakuomba ww upost picha za kibera au mathare , na nikikuomba utapost kwani? munahangaika kuitafuta dar hahaha
Hawa ni watu wamezitembea nchi zote mbili. Wewe hujawai kuja Kenya nami sijawai tembea TZHapa tunataka picha hayo maelezo yasiyo na source wala research hayana chochote. Battle ipo wewe leta references za maana.
nilikuulizeni maswali yangu wote mukakimbia hapa sasa nataka kujua ni nchi gani yenye middle economy inatangaza baa la njaa na nchi gani, middle economy ulishawah kuskia ina gap kubwa kati ya tajiri na maskini na munijibu uchumi wa kenya umeshikwwa na nani? nataka majibu yakisomi tatizo lenu hamutaki umaskini wakat nyie maskini wakutupaHii ni map ya LCD. Least developed countries. Nchi maskini za dunia. They are in red. All Kenyan neighbours are in that category. Annael na Ichiboy mnapinga hii rank yenu??View attachment 480803 View attachment 480807 View attachment 480815
Least Developed Countries - Wikipedia
mm kenya nimekaa na nimeizunguka hunipotezi mombasa, kisumu, nairobi, nakuru, migori, homabay,kericho etcHawa ni watu wamezitembea nchi zote mbili. Wewe hujawai kuja Kenya nami sijawai tembea TZ
Baa la njaa ni drought. which happens because of climate, same way na floods na tsunami. Hakuna mtu Kenya amefariki. Shida ni mifugo na wanyama pori. Hao waumia. Kenya ni Middle income country upende usipende, wewe inaonekana una uchungu. Wacha kuwaonea majirani wivu. Ijenge nchi yenunilikuulizeni maswali yangu wote mukakimbia hapa sasa nataka kujua ni nchi gani yenye middle economy inatangaza baa la njaa na nchi gani, middle economy ulishawah kuskia ina gap kubwa kati ya tajiri na maskini na munijibu uchumi wa kenya umeshikwwa na nani? nataka majibu yakisomi tatizo lenu hamutaki umaskini wakat nyie maskini wakutupa
Umekaa Nairobi wapi??mm kenya nimekaa na nimeizunguka hunipotezi mombasa, kisumu, nairobi, nakuru, migori, homabay,kericho etc
unajua ww akili yako wakat mwengine kama ya kunguni hvi shoping malls ndio uchumi au ndio inawapa utajiri akili yako ww inawehukaMall Space. Hii ni report Two rivers iongezwe kwa list. Na bado kuna zingine zinjengwa. Ona Mall Sapce, before Two Rivers na the others zinazojengwa saa hii. Nairobi vs DarView attachment 480818
nimekaa Birmingham, nimekaa emmanuel upper estate, nimekaa maeneo ya juja road etc we unataka kunifundisha mm hahahaha mpaka kibera nimefika ndio maana naifahamuUmekaa Nairobi wapi??
Kenya - middle income. Tanzania - Least Developed. Lakini I like how you see Kenya as a yardstickunajua ww akili yako wakat mwengine kama ya kunguni hvi shoping malls ndio uchumi au ndio inawapa utajiri akili yako ww inawehuka
yani uwe na uchumi imara ushindwe kupigana na njaa ww lini umeskia nchi za middle economy zinatangaza njaa hahah maajabu yapo kenya pekeake ndio maana nilikwambi uchumi wenu 70% umeshikwa na wageni nyie wakenya more than 45 million people ndio mumebaki na 30%Baa la njaa ni drought. which happens because of climate, same way na floods na tsunami. Hakuna mtu Kenya amefariki. Shida ni mifugo na wanyama pori. Hao waumia. Kenya ni Middle income country upende usipende, wewe inaonekana una uchungu. Wacha kuwaonea majirani wivu. Ijenge nchi yenu
Leta source ya statistics. Wacha porojo. Kenya has more middle class citizens than the other EA combinedyani uwe na uchumi imara ushindwe kupigana na njaa ww lini umeskia nchi za middle economy zinatangaza njaa hahah maajabu yapo kenya pekeake ndio maana nilikwambi uchumi wenu 70% umeshikwa na wageni nyie wakenya more than 45 million people ndio mumebaki na 30%
tatizo ni middle economy inayoshangaza dunia hata mm sijawah kuona nchi ya middle economy ina slum kubwa maskini duniani, alaf gap kubwa kati ya tajiri na maskini, lakin tatizo lako nalijua umeshakula au bado munanjaa maana mliomba msaada kusaidiwa kulishwa chakula eti midlle economy inaongoza na unemployment rateKenya - middle income. Tanzania - Least Developed. Lakini I like how you see Kenya as a yardstick
tafuta hahah kwan mimi umeona nakutuma uweke picha za nairobi hujawah kufika dar ndio maana huifahamu hahhahahaNa sababu naona unapenda slums sana. Nitajie 7 posh estates in Dar Es Salaam na upost picha