Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

Naona mko na better scenery pekee, hapo Dar imetoa Nairobi. Hizo cartegories zingine Nairobi beats your Dar hands down. Even other towns. Not a fan boy
 
View attachment 480782 Naona mko na better scenery pekee, hapo Dar imetoa Nairobi. Hizo cartegories zingine Nairobi beats your Dar hands down. Even other towns. Not a fan boy
Hapa tunataka picha hayo maelezo yasiyo na source wala research hayana chochote. Battle ipo wewe leta references za maana.
 
kwan mm hua nakuomba ww upost picha za kibera au mathare , na nikikuomba utapost kwani? munahangaika kuitafuta dar hahaha
Hata Mumbai na Mexico city pia Cape Town wana slums kubwa sana. Hio argument ni invalid my friend
 
Hapa tunataka picha hayo maelezo yasiyo na source wala research hayana chochote. Battle ipo wewe leta references za maana.
Hawa ni watu wamezitembea nchi zote mbili. Wewe hujawai kuja Kenya nami sijawai tembea TZ
 
kwanza mutupe siri ya mafanikio mumewezaje kuishi hapa 2.5million people in kebera nairobi, 0.5million people in mathare nairobi and 30k people in matopeni nairobi wakat nairobi population ni 4 mil mm bado nataka kujua siri ya mafanikio. hehe umaskini hamuupendi hehehehehe wapi umeskia nchi ina middle economy alaf ina the biggest poor slum in the world
 
nilikuulizeni maswali yangu wote mukakimbia hapa sasa nataka kujua ni nchi gani yenye middle economy inatangaza baa la njaa na nchi gani, middle economy ulishawah kuskia ina gap kubwa kati ya tajiri na maskini na munijibu uchumi wa kenya umeshikwwa na nani? nataka majibu yakisomi tatizo lenu hamutaki umaskini wakat nyie maskini wakutupa
 
Mall Space. Hii ni report Two rivers iongezwe kwa list. Na bado kuna zingine zinjengwa. Ona Mall Sapce, before Two Rivers na the others zinazojengwa saa hii. Nairobi vs Dar
 
Baa la njaa ni drought. which happens because of climate, same way na floods na tsunami. Hakuna mtu Kenya amefariki. Shida ni mifugo na wanyama pori. Hao waumia. Kenya ni Middle income country upende usipende, wewe inaonekana una uchungu. Wacha kuwaonea majirani wivu. Ijenge nchi yenu
 
Mall Space. Hii ni report Two rivers iongezwe kwa list. Na bado kuna zingine zinjengwa. Ona Mall Sapce, before Two Rivers na the others zinazojengwa saa hii. Nairobi vs DarView attachment 480818
unajua ww akili yako wakat mwengine kama ya kunguni hvi shoping malls ndio uchumi au ndio inawapa utajiri akili yako ww inawehuka
 
unajua ww akili yako wakat mwengine kama ya kunguni hvi shoping malls ndio uchumi au ndio inawapa utajiri akili yako ww inawehuka
Kenya - middle income. Tanzania - Least Developed. Lakini I like how you see Kenya as a yardstick
 
yani uwe na uchumi imara ushindwe kupigana na njaa ww lini umeskia nchi za middle economy zinatangaza njaa hahah maajabu yapo kenya pekeake ndio maana nilikwambi uchumi wenu 70% umeshikwa na wageni nyie wakenya more than 45 million people ndio mumebaki na 30%
 
Leta source ya statistics. Wacha porojo. Kenya has more middle class citizens than the other EA combined
 
Na sababu naona unapenda slums sana. Nitajie 7 posh estates in Dar Es Salaam na upost picha
 
Kenya - middle income. Tanzania - Least Developed. Lakini I like how you see Kenya as a yardstick
tatizo ni middle economy inayoshangaza dunia hata mm sijawah kuona nchi ya middle economy ina slum kubwa maskini duniani, alaf gap kubwa kati ya tajiri na maskini, lakin tatizo lako nalijua umeshakula au bado munanjaa maana mliomba msaada kusaidiwa kulishwa chakula eti midlle economy inaongoza na unemployment rate
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…