Sawa watz, lakini hebu pia tuonyesheni vitu sampuli hii......kweli mkiwa na hivi mavitu, sisi hapa Kenya tutawaheshimu baraabara.
Lakini as long as bado mko hiovi hivi, mkichest thump ilhali kimiundo mbinu bado mko chini yetu, madharau kutoka kwetu bado mtaendelea tu kuzipata! Kenya ndio nchi ambayo imeendelea zaidi kwenye kanda hili, mkatae mkubali shauri zenu, ukweli bado utabakia pale pale.
Tuanze na eneo ya makaazi
ichoboy01 1 amekuwa akizungumzia kibera kila mara, hili hapa ni mtaa wenyewe wajengwa upya. Ipe kama miaka mitano-kumi hivi