Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

Inamaana hua huzioni au heheh huyu jamaa vp tumepost picha mpaka mumekumbia humu hukuziona au ndo umejitia upofu
uyo mgeni kakurupuka ichoboy usitume picha hawa ndyo wale wasioishi nairobi wapo nnje kabisa na nairobi na dar haijui kabisa ivyo abaki na ujinga wake wa kutuma tuma picha kavamia game
 
Umenufurahisha sana unaonesha picha ya future plan ya BRT wakati haipo hata kwenye budget yenu sio leo wala kesho so tuoneshe real pics usiogope hahahahhahha
Hata wakikasirika..wavumilie..ndo haki ilivo....
 
kwa hizo flyover ndyo mtutambie ila si kwa vitu vingine.......ila nasi soon ...tupo njian tunawachora huku tukicheka[emoji3] [emoji3] [emoji3]
siku walivoanzisha la mwakyembe wao walitusimangaaaaa wee utafikiri jua linazunguka nairobi tu, baada ya siku si chache la mwakyembe wetu likaanza kukamua kama kawa miruti kibao na tazara inakamua upande mwingine, halafu upande mwingine huku kwetu kuna vitu vya blue vina vinakamua katika km kama 21 morogoro road, na nyingine kawawa road pamoja na kivukoni. kwa kifupi modern public transport in the region, halafu kwa dharau eti wanakuja kufananisha matatu.
sasa hivi kila kitu lazima usimangwe na fly overs, muda si mrefu tutakua nazo na watatafuta lingine, Tumesemwaa wee kuhusu suburbs sasa hivi dar kila kona kuna estates na satellite cities kibao. Ila ni aibu kwa nchi inayojiita middle class na business minded people ambao walikua wanatakiwa wawe level sawa na singapore bado wanatembelea kichwa na sisi hapa. maendeleo yao mengi bado underconstruction lakini wanaongea utafikiri walifanya hayo miaka sabini iliyopita.angalia hata hizo flyover zao hata landscaping bado hawajamaliza.
kama mimi ningekaa kimya.
 
This view is stunning when landing at JNIA. A carpet of Brown
 
Sasa Kibera na Matopeni ipo level ya wapi..Hahaha
 
Hawa tatizo lao mdudu aliekichwan mwao hua anawadanganya kua tanzania still iko backwards 50 yes kumbe hawajui tz no ya 2017 leo
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…