Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

Ha
Mitaa za jiji ya DAR is SLUM
Pathetic, this ios all u ever show........the best Dar has got

30720858526_28d5331ca2_b.jpg


But,

Dar_es_Salaam_before_dusk.jpg


5402161425_c8cf2a0aa7_o.jpg


dar-es-salaam-tanzania-picture-id505330155


06DarEsSalaamfromtehAir.jpg


5402761386_fcf89a22be_b.jpg


4836820680_2c56ea3034_b.jpg


5245767012_a22d06c227_b.jpg
Haya muoneni huyu sasa hahahha huyu naona Leo hayuko proper haijui kumbe dar huyu
 
Inamaana hua huzioni au heheh huyu jamaa vp tumepost picha mpaka mumekumbia humu hukuziona au ndo umejitia upofu
uyo mgeni kakurupuka ichoboy usitume picha hawa ndyo wale wasioishi nairobi wapo nnje kabisa na nairobi na dar haijui kabisa ivyo abaki na ujinga wake wa kutuma tuma picha kavamia game
 
Umenufurahisha sana unaonesha picha ya future plan ya BRT wakati haipo hata kwenye budget yenu sio leo wala kesho so tuoneshe real pics usiogope hahahahhahha
Hata wakikasirika..wavumilie..ndo haki ilivo....
 
kwa hizo flyover ndyo mtutambie ila si kwa vitu vingine.......ila nasi soon ...tupo njian tunawachora huku tukicheka[emoji3] [emoji3] [emoji3]
siku walivoanzisha la mwakyembe wao walitusimangaaaaa wee utafikiri jua linazunguka nairobi tu, baada ya siku si chache la mwakyembe wetu likaanza kukamua kama kawa miruti kibao na tazara inakamua upande mwingine, halafu upande mwingine huku kwetu kuna vitu vya blue vina vinakamua katika km kama 21 morogoro road, na nyingine kawawa road pamoja na kivukoni. kwa kifupi modern public transport in the region, halafu kwa dharau eti wanakuja kufananisha matatu.
sasa hivi kila kitu lazima usimangwe na fly overs, muda si mrefu tutakua nazo na watatafuta lingine, Tumesemwaa wee kuhusu suburbs sasa hivi dar kila kona kuna estates na satellite cities kibao. Ila ni aibu kwa nchi inayojiita middle class na business minded people ambao walikua wanatakiwa wawe level sawa na singapore bado wanatembelea kichwa na sisi hapa. maendeleo yao mengi bado underconstruction lakini wanaongea utafikiri walifanya hayo miaka sabini iliyopita.angalia hata hizo flyover zao hata landscaping bado hawajamaliza.
kama mimi ningekaa kimya.
 
This view is stunning when landing at JNIA. A carpet of Brown
15231672648_43e2fab132_b.jpg
 
Si usome post nimeandika kwa kiswahili unaogopa kusoma, ni uvivu,

Nimesema, sio tabia yetu wakenya, nivile tu, unadhani BRT ni jiji!! Pili, wewe unadhani kama hakuna mpango, nimetoa wapi Renders?? Mradi huwa unapendekezwa, study ifanywe ya mazingira na faida zake, kisha plani zichorwe, kisha ijengwe. Hio sasa imefika planing stage, ndio maana unaona picha kama hizo, ama unadhani mimi nimechora?

Haya basi achana nayo, nilikuwa tu nakujulisha. Ujue Dar iko league ya Mombasa na tulimaza hayo, Ona Mombasa hapa
level ya Dar
CZM1bGLW0AApwgE.jpg


aerial-view-of-cars-seen-at-mombasa-county-where-many-politicians-will-be-battling-for-senior-posts.jpg
Sasa Kibera na Matopeni ipo level ya wapi..Hahaha
 
siku walivoanzisha la mwakyembe wao walitusimangaaaaa wee utafikiri jua linazunguka nairobi tu, baada ya siku si chake la mwakyembe wetu likaanza kukamua kama kawa miruti kibao na tazara inakamua upande mwingine, halafu upande mwingine huku kwetu kuna vitu vya blue vina vinakamua katika km kama 21 morogoro road, na nyingine kawawa road pamoja na kivukoni. kwa kifupi modern public transport in the reginal, halafu kwa dharau eti wanakuja kufananisha matatu.
sasa hivi kila kitu lazima usimwangwe na fly overs, muda si mrefu tuatakua nazo na watatafuta lingine, Tumesemwaa wee kuhusu suburbs sasa hivi dar kila kona kuna estates na satelite cities kibao. Ila ni aibu kwa nchi inayojiita middle class na business minded people ambao walikua wanatakiwa wawe level sawa na singapore bado wanatembelea kichwa na sisi hapa. maendeleo yao mengi bado underconstruction lakini wanaongea utafikiri walifanya hayo miaka sabini iliyopita.angalia hata hizo flyover zao hata landscaping bado hawajamaliza.
kama mimi ningekaa kimya.
Hawa tatizo lao mdudu aliekichwan mwao hua anawadanganya kua tanzania still iko backwards 50 yes kumbe hawajui tz no ya 2017 leo
 
Back
Top Bottom