Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

Middle economy inaomba msaada was chakula hahhaha umaskini hamuutaki lakini ndio munao sasa
 
Utoto anao huyu na we mshabiki wake maana akili zenu fupi u still want battle of 1590km sq dar against 696 km sq simunaonekana machizi
Sasa let me ask you ...1590 vs 696 km sq ...spacing haimaanishi mko mbele ..can mumbai compare to newyork !!!or dubai ....dar ni kubwa hatukatia but ni ukubwa wa population .72% yenyu mko in informal settlements ...see ...mtu mature angelifahamu hili ...sasa wewe kitoto ni kukenua tu na hata hujui kile unachosema ...
 
Kwikwi unaongelea Taarifa za miaka ya zamani sana.
Hebu soma hapa beautiful cities in Africa

The Most Beautiful Cities in Africa

Halafu Cleanest Cities in Africa hapa:

Top 10 Cleanest Cities in Africa 2016

Sasa mambo yote hayo tupo sambamba twende sasa kwenye slums utacheka kuhusu Nairobi.
 
Enjoy this Video from WorldBank

na huyu kabadilisha topic hahhahahaha duh aiseeee

Bado unakurupuka... The country in front of you by so many miles is Kenya. You are not going to change that and as long as your ujamaa ideology is still in you then you still remain poorer than Guatemala
 
Kwikwikwikwi. Yaani kuhusu Dar utavimba na mwisho wa siku utapasuka.

Kwekwekwe Mr bra bra..... Kumbe wewe ni mla Albino ambaye ameadhirika kiasi hicho. The country in front of you is KENYA... And the focal city on this side of the Continent is NAIROBI. Kula piriton ukufe.
 
Hizo ni mind set mlizowekewa sisi hapa tunaongea facts wewe unakuja na pororojo. Yaani nikiona unavyovimba kama kifutu huwa nacheka sana.
 
Hizo ni mind set mlizowekewa sisi hapa tunaongea facts wewe unakuja na pororojo. Yaani nikiona unavyovimba kama kifutu huwa nacheka sana.

Tihahahhaaaaa...... shinda hapo na facts zako za ujamaa
 
Sisi hapa ni facts tu wewe porojo.
Check video ya JMK Park Dar es salaam.

Heheee. You are clearly suffering from alternative facts. You need to see a Doctor quickly before it's too late.
 
Tihahahhaaaaa. umekuwa prefect wa jf sasa??
Ulisema hupost tena
nini kimekurudisha!!?
Muache mambo ya kitoto
hakuna mtu anamtegemea mwingine Humu
ukipost ukiacha Hakuna atakaye kuuliza!!
 
Heheee. You are clearly suffering from alternative facts. You need to see a Doctor quickly before it's too late.
Utaendelea kukodoa kodoa tu. Hii ndiyo fact ya dar.
Check Dar es salaam Zoo
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…