Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

I like you edward...your arguments are mature and based on fact ..hawa wengine tz watoto wa highschool ambao walipata jf mwaka huu
Utoto anao huyu na we mshabiki wake maana akili zenu fupi u still want battle of 1590km sq dar against 696 km sq simunaonekana machizi
 
Nairobi is East Africa's City, Welcome all
IMG_20140517_164353_1.jpg

downtown_nairobi.jpg
Nishafika sana lakin sijaona kitu kipo huko dar hakuna ila nimeona mambo dar yapo huko hakuna
 
Hakuna matus hapa tatizo kwenye nairaland hua hamueki kibera mathare na zinginezo ndio maana hapa tunaweka tu uijua nairobi iko vp

Tofauti ni kwamba Nairaland, watu hujadili kulingana na kwao, sababu kuna mambo ya kujadili, lakini nyinyi hapa Jamii forum, unapata mtu wa tanzania anapost mambo ya Kenya, nani atajadili ya kwao, yani watu hizi forum zingine wamemakinika sana. Ila tu hapa JF
 
Mnalipa mishahara ya ajabu ajabu kwa sababu maisha yenu ni expensive. Pia hakuna uzalendo kwenye nchi yenu. Hilo ni jambo la kukemea kabisa nchini kwenu. Kuna watu wanalala njaa huko TUrkana halafu wewe unajisifia mishahara!!!?
Shame on you Kenyans
Nchi inafkia hatua inatangaza baa LA njaa ni janga LA taifa alaf anakufata anakwambia middle economy hip akili au matope
 
IMG_6454.jpg
Nairobi's Suburbs are as rich as those in developed countries like London and Rotterdam
 
Tofauti ni kwamba Nairaland, watu hujadili kulingana na kwao, sababu kuna mambo ya kujadili, lakini nyinyi hapa Jamii forum, unapata mtu wa tanzania anapost mambo ya Kenya, nani atajadili ya kwao, yani watu hizi forum zingine wamemakinika sana. Ila tu hapa JF
Wanajadili nn wakat unaeka mazuri kibera na mathare munaficha wakat watu over three quarter of Nairobi no maskini wakutupa watu wanaish sehem nguruwe hawez ish
 
Ndi
Mnalipa mishahara ya ajabu ajabu kwa sababu maisha yenu ni expensive. Pia hakuna uzalendo kwenye nchi yenu. Hilo ni jambo la kukemea kabisa nchini kwenu. Kuna watu wanalala njaa huko TUrkana halafu wewe unajisifia mishahara!!!?
Shame on you Kenyans
Ndio maana mumeomba tanzania madaktari kwan hamkuona nchi nyingine hehhehhh umeona palivo patamu
 
1590km sq dar urban centre uringanishe na nairobi 696kmsq alaf MTU anakufata anataka mashindano hio ni akili kweli hehhe aise hats mtoto was class one anaeza jibu duhhhhh
 
Nchi inafkia hatua inatangaza baa LA njaa ni janga LA taifa alaf anakufata anakwambia middle economy hip akili au matope

Nilisema, itakuwa vyema, ifikirie kwa jambo unaloandika kabla uandike, China has over 10million hungry citizens while it is a developed country, Tanzania nchi yako, ina watu zaidi millioni 5 kwenye hatari ya njaa, Kenya sio eti ilikosa chakula, ila kiangazi kilizidi, mtu ana ng'ombe mia mbili wanakufa wote, hilo si jambo la kujitakia ila ni jangaa, natural course, ndio maana Kenya tunaanza kudevelop irrigation schemes tusitegemee mvua.

Chakula toka kwenye irrigation hizo ndicho kimelisha wakenya hadi sasa mvua imeanza, our international friends pia wachache wamesimama na sisi, na sahi hakuna mkenya amekosa chakula, tanzania je??
 
1590km sq dar urban centre uringanishe na nairobi 696kmsq alaf MTU anakufata anataka mashindano hio ni akili kweli hehhe aise hats mtoto was class one anaeza jibu duhhhhh

Picha ipo humu JF inayoonyesha Ukubwa wa Dar mji, sasa la ukubwa achana nalo, twajua ni kubwa lakini imejengwa nini??
 
We wapi mumeskia city iko na bahari ikashindanishwa na city landlock yani hawa watu hehehehe wananichekesha sana
 
Picha ipo humu JF inayoonyesha Ukubwa wa Dar mji, sasa la ukubwa achana nalo, twajua ni kubwa lakini imejengwa nini??
Itakua 1590 kmsq bila kujengwa hvi we akili yako timamu unafkiri Nairobi ingekua 696kmsq bila kujengwa punguza utoto na akili ndogo
 
1590km sq dar urban centre uringanishe na nairobi 696kmsq alaf MTU anakufata anataka mashindano hio ni akili kweli hehhe aise hats mtoto was class one anaeza jibu duhhhhh

Nairobi center ni ndogo lakini estates zake ni far and beyond, huwezi chukua picha Nairobi nzima kama nilivyoona Dar, Upperhill pekee, Westlands pekee, Eastlands pekee, Kilimani pekee, na kadhalika.

You can have a look at the Nairobi Suburbs
9010771546_0ae4ccfffc_c.jpg
 
Nilisema, itakuwa vyema, ifikirie kwa jambo unaloandika kabla uandike, China has over 10million hungry citizens while it is a developed country, Tanzania nchi yako, ina watu zaidi millioni 5 kwenye hatari ya njaa, Kenya sio eti ilikosa chakula, ila kiangazi kilizidi, mtu ana ng'ombe mia mbili wanakufa wote, hilo si jambo la kujitakia ila ni jangaa, natural course, ndio maana Kenya tunaanza kudevelop irrigation schemes tusitegemee mvua.

Chakula toka kwenye irrigation hizo ndicho kimelisha wakenya hadi sasa mvua imeanza, our international friends pia wachache wamesimama na sisi, na sahi hakuna mkenya amekosa chakula, tanzania je??
Haya msikizeni huyu sasa anachoongea wao wamepatwa na njaa analazmisha na sisi tupatwe tanzania INA chakula chakutosha ndio maana nilikwambia njaa yenu imekuja baada ya magufuli kuzuia mahindi na mchele kwenda Kenya ndio maana munakaribia kufa
 
Back
Top Bottom