Nilisema, itakuwa vyema, ifikirie kwa jambo unaloandika kabla uandike, China has over 10million hungry citizens while it is a developed country, Tanzania nchi yako, ina watu zaidi millioni 5 kwenye hatari ya njaa, Kenya sio eti ilikosa chakula, ila kiangazi kilizidi, mtu ana ng'ombe mia mbili wanakufa wote, hilo si jambo la kujitakia ila ni jangaa, natural course, ndio maana Kenya tunaanza kudevelop irrigation schemes tusitegemee mvua.
Chakula toka kwenye irrigation hizo ndicho kimelisha wakenya hadi sasa mvua imeanza, our international friends pia wachache wamesimama na sisi, na sahi hakuna mkenya amekosa chakula, tanzania je??