Edward Wanjala
JF-Expert Member
- Nov 3, 2016
- 8,122
- 6,429
Wewe umetuma vi comment 55 ndiyo unasema thread iwe closed!!?. Umeanza ku comment juzi juzi tu hii thread ina umri zaidi ya wewe kuanza ku comment.
Hivyo vimaelezo vyako hivyo ndiyo kwenye kichwa chako umejiridhishaaaa!!!. Soma kwanza thread inataka nini kisha uje upya.
Wenzako tumewauliza maswali walete vitu vilivyoko Nairobi lakini Dar havipo. Wameishia mitini.
Wewe unakuja na maelezo mareefu hallafu upo out of topic. Soma kwanza thread inataka nini siyo kujiaibisha.
Hutakuwa mtu wakutumia lugha ya dharau hiyo hapa, kama ukweli umekuzidi, jipe shughuli