Edward Wanjala
JF-Expert Member
- Nov 3, 2016
- 8,122
- 6,429
Wewe umetuma vi comment 55 ndiyo unasema thread iwe closed!!?. Umeanza ku comment juzi juzi tu hii thread ina umri zaidi ya wewe kuanza ku comment.
Hivyo vimaelezo vyako hivyo ndiyo kwenye kichwa chako umejiridhishaaaa!!!. Soma kwanza thread inataka nini kisha uje upya.
Wenzako tumewauliza maswali walete vitu vilivyoko Nairobi lakini Dar havipo. Wameishia mitini.
Wewe unakuja na maelezo mareefu hallafu upo out of topic. Soma kwanza thread inataka nini siyo kujiaibisha.
Depay Edward Wanjala you see how smooth the thread is running when you ignore the silly kid? I told you so. Keep up guys
[emoji115] [emoji115] [emoji115] [emoji115] [emoji115]Heheee.... It works. Now I don't have time for the fool.
[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji116] [emoji116] [emoji116] [emoji116]T
Tulia boss. I just wanted to show you clearly how Dar es Salaam and Nairobi are two worlds apart. Now close this thread. The topic of discussion Nairobi Vs Dar es Salaam is over
Akili zako ni kama za dereva wa Tuk tukOOOOH! Now I know you guys just love to compare yourselves with us, maybe to console yourselves that you are close. After we beat you in a thread you sensationally come up with another one, We are better than you in every possible way and you know it. Maybe this thread will make you happy for a moment but after several posts you will open another one. I am sure it is not your memory. We have like 10 threads already showcasing this things.
Zakwangu zaidi ya 10 mlisoma au mlipita wima hhehhehehheAnneal Soma link yote: It is a UK firm: Intelligent Community Forum: Robert Bell
Mlitupiga kwenye thread ipi itaje, au nawe ni mmoja uliekumbwa na njaaAkili zako ni kama za dereva wa Tuk tuk
Labda nairobi ya kwenye mapicha..Mlitupiga kwenye thread ipi itaje, au nawe ni mmoja uliekumbwa na njaa
Nilikuwa nawauliza wakenya wametupiga wapi thread ipiLabda nairobi ya kwenye mapicha..
Hayo ameandika mtu ata wewe waweza andika na kupost mtandaoni...Soma vizuri wacheni kuchanganyikiwa tu
View attachment 482078
Nyingine huwa zinaandikwa na mashetani?Hayo ameandika mtu ata wewe waweza andika na kupost mtandaoni...
nairobi,jiji la matope everywhereNchi ya VIWONDER..... Nchi ya Kusadikika...
Ukweli upi!? Mmejifungie kwenye mashimo kama panya!!. Nimewaambia mlete vitu vilivyipo Nairobi havipo Dar mnakodoa kodoa macho huku mkirudia rudia vitu. Ulishaambiwa kwamba jiji likiwa kwenye bahari lina benefits ya vitu vingi.Hutakuwa mtu wakutumia lugha ya dharau hiyo hapa, kama ukweli umekuzidi, jipe shughuli
Again you are wrong Annael na ya have a rigid mind. Kusema Nairobi has no modern buildings is false man. Kuna many highrise zimepostiwa hapa, na many are modern. CBD has old Kenyatta age na Moi age buildings, but mapya yanajengwa. Places like Upperhill na Westlands, new buildings mate. All those upcoming super tall ziko Upper Hill. What about the dozens of modern malls? Old??Ukweli upi!? Mmejifungie kwenye mashimo kama panya!!. Nimewaambia mlete vitu vilivyipo Nairobi havipo Dar mnakodoa kodoa macho huku mkirudia rudia vitu. Ulishaambiwa kwamba jiji likiwa kwenye bahari lina benefits ya vitu vingi.
Unaleta majengo ya kikoloni yaliyojengwa na malkia Elizabeth. Hakuna majengo ya kisasa. Ndiyo maama miji ya kisasa inavutia sana kuliko miji ya kizamani. Nairobi ni old fashion city in Africa. Dar es salaam ni modern city.
Ndiyo maana ninasema hujasoma thread. Pitia thread hapa uione. Yale unayoyafanya ni marudio.Unasema hakuna new buildings??
Sasawa lemme post picha za Upper HillView attachment 482111 View attachment 482113 View attachment 482116 View attachment 482121 View attachment 482123 View attachment 482125
hawaamini wanachokiona ndio tatizo lao nahapo tumejenga ndan ya 10yrs heheheheheTunawagonga kote kote. Mbele na mkigeuka nyuma tunawagonga.