Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Aah!! KweliWE WILL ALWAYS STAND TALL....NAMBA SOMENI SOMENI......
Sio Ea hii dunia nzima kibera ndio inaongoza dunia nzima na yaa ajabu hakuna mfano wakeAah!! Kweli
kwa hii hali!!
nilitegemea hapo akae Nguruwe
ajabu yupo binadamu!!
Hii EA ipo Nairobi pekee
[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji85] [emoji85]![]()
Kule nikuzimu kiukweli ni hatariSio Ea hii dunia nzima kibera ndio inaongoza na yaa ajabu hakuna mfano
Hio ndio inapunguza slums za nairobiKenya always stands tall in multitudes of Nations! The Kenya Spirit
![]()
Kuna video mojaSio Ea hii dunia nzima kibera ndio inaongoza na yaa ajabu hakuna mfano wake
Bado kisumu wailete hapa niwaoneshe wonders of the world hamujawah kuona toka mumezaliwa hhehehhe mombasa ndio tamu naitamani sanaKule nikuzimu kiukweli ni hatari
Mm napajua my friend vzr sana bado kuna sehem inaitwa shaurimoyo hio ipo kisumu hehehhe huangalii Mara mbiliKuna video moja
ukiitazama itakuliza
Kwa Africa hakuna hili
tumezoea Kuona mateso ya mwanadamu kupitia Vita,Njaa
lakini Nairobi ni tofauti
ndugu yangu Nihatari
wakenya Waishio Nairobi wana ishi kuzimu sio Dunia hii tuijuayo!!
Mm napajua my friend vzr sana bado kuna sehem inaitwa shaurimoyo hio ipo kisumu hehehhe huangalii Mara mbili
Ukizunguka ukirudi Bara bara[emoji23] [emoji23]Nairobi is fast maturing into a global city
![]()
Dar es salaam always giving you new views each dayNairobi always giving you new views each day
![]()
Ukizunguka ukirudi Bara bara[emoji23] [emoji23]
mmeishiwa
Edwin stop arguing with this fools,grow up and leave this morons to spew all kinds of trash.Yaani we vipi?? Dar hakuna barabara hadi unadhani ni hatia kuwa na barabara mijini?? Nairobi barabara kila mahali, hiyo picha imechukua sehemu kubwa sana, hadi skyline huko nyuma, unashitukia kuona barabara kama hizo??
Sasa hivyo ndivyo a global city should look like, enough spaces and good transport infrastructure
Ulitaka nichukue nyumba moja kama hapa??
![]()
Unataka mtuachukue aje picha ya jiji na barabara zipotee?? We mwehu,, nini??