Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

Niliwaambia kwa dar chukueni Nairobi,mombasa na kisumu alaf muje tuongee sasa hehe kwasabbau kisumu mombasa hakuna kitu heheheh
 
WE WILL ALWAYS STAND TALL....NAMBA SOMENI SOMENI......
Aah!! Kweli
kwa hii hali!!
nilitegemea hapo akae Nguruwe
ajabu yupo binadamu!!
Hii EA ipo Nairobi pekee
[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji85] [emoji85]
 
Aah!! Kweli
kwa hii hali!!
nilitegemea hapo akae Nguruwe
ajabu yupo binadamu!!
Hii EA ipo Nairobi pekee
[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji85] [emoji85]
Sio Ea hii dunia nzima kibera ndio inaongoza dunia nzima na yaa ajabu hakuna mfano wake
 
Sio Ea hii dunia nzima kibera ndio inaongoza na yaa ajabu hakuna mfano wake
Kuna video moja
ukiitazama itakuliza
Kwa Africa hakuna hili
tumezoea Kuona mateso ya mwanadamu kupitia Vita,Njaa
lakini Nairobi ni tofauti
ndugu yangu Nihatari
wakenya Waishio Nairobi wana ishi kuzimu sio Dunia hii tuijuayo!!
 
Kuna video moja
ukiitazama itakuliza
Kwa Africa hakuna hili
tumezoea Kuona mateso ya mwanadamu kupitia Vita,Njaa
lakini Nairobi ni tofauti
ndugu yangu Nihatari
wakenya Waishio Nairobi wana ishi kuzimu sio Dunia hii tuijuayo!!
Mm napajua my friend vzr sana bado kuna sehem inaitwa shaurimoyo hio ipo kisumu hehehhe huangalii Mara mbili
 
Mm napajua my friend vzr sana bado kuna sehem inaitwa shaurimoyo hio ipo kisumu hehehhe huangalii Mara mbili

Chukua dk 6 Kuangalia video hii
Kiukweli hapa E A hakuna sehumu Laana kama hapa!!

HII NI JEHANAM!!
HUWEZI FURAHIA NCHI YAKO KAMA KUNA BINADAMU ANAISHI HIVI!!!


 
Kenya people are people who love learning, with libraries in each town however small, the new National library, in Nairobi about to be opened to the public
 
Kenyans you have to admit respect Tanzanians.
 
Ukizunguka ukirudi Bara bara[emoji23] [emoji23]
mmeishiwa

Yaani we vipi?? Dar hakuna barabara hadi unadhani ni hatia kuwa na barabara mijini?? Nairobi barabara kila mahali, hiyo picha imechukua sehemu kubwa sana, hadi skyline huko nyuma, unashitukia kuona barabara kama hizo??

Sasa hivyo ndivyo a global city should look like, enough spaces and good transport infrastructure

Ulitaka nichukue nyumba moja kama hapa??

Unataka mtuachukue aje picha ya jiji na barabara zipotee?? We mwehu,, nini??
 
Edwin stop arguing with this fools,grow up and leave this morons to spew all kinds of trash.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…