Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Akili yako ndogo siezi argue na wewe......utafiti umefanywa na kampuni ya marekani kawaulize hao.ama ju Tanzania haipo kwako itakua propaganda?We ushindane na middle east kuhusu internet hvi hata aibu we huoni hehhehhhehe
Hahahhaa eti middle east kweli lazma akili zenu zitakua fupi sanaAkili yako ndogo siezi argue na wewe......utafiti umefanywa na kampuni ya marekani kawaulize hao.ama ju Tanzania haipo kwako itakua propaganda?
Usiargue na hiki kitoto ..nathani kinangoja kutairi ndo ki mature akili ..blacklist himHahahhaa eti middle east kweli lazma akili zenu zitakua fupi sana
Heheh same as usual fungua page za nyuma utakutana Nazo wenzako washapost mpaka wakapost nssf ya Mwanza iko nairobi hhhehehe
Naona dar imewatoa jasho mpaka mgongoni hhehhehehe madaktari 500 umemsikia magufuli alichosema hehhehe olewenu sasa wateseke ndio mutaitambua tanzaniaUsiargue na hiki kitoto ..nathani kinangoja kutairi ndo ki mature akili ..blacklist him
Anagalia ..mgomo kenya ulishaa isha na hujajua ..nenda katairi ..watz wapuuzi sana ..mnatuma madaktari mgomo ukiwa umemalizwa ...Naona dar imewatoa jasho mpaka mgongoni hhehhehehe madaktari 500 umemsikia magufuli alichosema hehhehe olewenu sasa wateseke ndio mutaitambua tanzania
Eti kuna serekali madaktari wanagoma 100 days haijawah kutokea duniani hio hhehe tushawapa sasa na olewenu wapate tabu magufuli ndio mutamjua nani hehehe 500 doctors my friendAnagalia ..mgomo kenya ulishaa isha na hujajua ..nenda katairi ..watz wapuuzi sana ..mnatuma madaktari mgomo ukiwa umemalizwa ...