Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

Jamaa wana Tafuta hadi google ina pooza[emoji23] [emoji23] [emoji23]
Wakirudi ni kurudia rudia picha
mmoja anapost mara 5
mwingine mara 5
hahaha
Mtuletee na Ikulu basi maana vituko vimeanza
 
Jamaa wana Tafuta hadi google ina pooza[emoji23] [emoji23] [emoji23]
Wakirudi ni kurudia rudia picha
mmoja anapost mara 5
mwingine mara 5
hahaha
Mtuletee na Ikulu basi maana vituko vimeanza
You should understand this is real time, and its not like they are in the same room and are able to confirm, even so it still doesn't matter.
 
Da!! Hii kali
huyu mama yupo Nairobi
ndani ya jiji
makao makuu ya Kenya
najiuliza hivi
anapo kwenda nje ya Nairobi husema anaishi Jinini Nairobi!!?
Hivi huyu anafuraha na nchi yake miaka 50
uchumi wa kati hivi!!

HII NYUMBA NI YAKULALA BINADAMU!!?

 
leteni picha ya nyumba mnazoishi. Ila in term of GDP nairobi yaweza kuwa 2 times Dar.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…