Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

Nairobi South SGR Station
View attachment 483020
Du!! Naona mmechanganyikiwa ID kumikumi mtu mmoja
hahaha

Yaani kitu kimoja kila page!!
Kweli imewaingia vilivyo hahaha

d90ba22e5aed8374018ee352d7c5df6d.jpg
a0c8ea73f8764f7a39a81004fc6a010a.jpg
b267f023431f480ffa26586f0756d070.jpg


Tuendako mtapost hadi Ikulu ya Kikuyu[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23]
 
Jamaa wana Tafuta hadi google ina pooza[emoji23] [emoji23] [emoji23]
Wakirudi ni kurudia rudia picha
mmoja anapost mara 5
mwingine mara 5
hahaha
Mtuletee na Ikulu basi maana vituko vimeanza
 
Jamaa wana Tafuta hadi google ina pooza[emoji23] [emoji23] [emoji23]
Wakirudi ni kurudia rudia picha
mmoja anapost mara 5
mwingine mara 5
hahaha
Mtuletee na Ikulu basi maana vituko vimeanza
You should understand this is real time, and its not like they are in the same room and are able to confirm, even so it still doesn't matter.
 
Da!! Hii kali
huyu mama yupo Nairobi
ndani ya jiji
makao makuu ya Kenya
najiuliza hivi
anapo kwenda nje ya Nairobi husema anaishi Jinini Nairobi!!?
Hivi huyu anafuraha na nchi yake miaka 50
uchumi wa kati hivi!!

HII NYUMBA NI YAKULALA BINADAMU!!?

b0b4013e8db68389726363d7d8e23bbb.jpg
 
leteni picha ya nyumba mnazoishi. Ila in term of GDP nairobi yaweza kuwa 2 times Dar.
 
Back
Top Bottom