Welawele Dar!Barabara zinajengwa
Mpaka sasa nenda Mataa pale Tazara wapo busy.
Reli ipi unazungumzia !!
Nairobi wana Reli ya mkoloni ambaya hata Dar ipo
Japo wapo kwenye kakipisi ka SGR ka Mombasa to Nairibi
Bado haija fanya kazi kuizungumzia hiyo!!
Hata sisi tenda lipo hewani
Na wakandarasi tayari wamesha jitokeza
Tunaanza na Dar to Moro mwaka huu.
Hakuna kipya Nairobi Dar hakuna kwa sasa
Annael naona twende evaluation ndo tuanze next item
Ok. Niambie mwenyewe. Who is winner?
KWAHIVYO UMEKUBALI TUMESHINDA KWA PROPOSED?Angalia jibu langu kwa Jaywat456. Konza na Tatu city hata bila kuweka hii miradi ingine ishashinda. Kumbuka pia kuwa miradi ya Kenya imetengewa pesa nyingi kwa vile ni kubwa zaidi
KWAHIVYO UMEKUBALI TUMESHINDA KWA PROPOSED?
Kigamboni itakua na wakaazi 500k vyuo vikuu hospital hotels offices industrial areas kiufupi ndio hivyo.....Na hiyo evalution ikifanywa ijulikane kua Konza city itakua na wakaazi 230,000 na Tatu City 70,000. Kuna shule, hospitali, maakazi, barabara zao etc
Ndugu unajivunia kitu kidogo sana. Nimecheki hiyo video. Nakuiliza tu. Je imetazama video ya Kigamboni New City?Na hiyo evalution ikifanywa ijulikane kua Konza city itakua na wakaazi 230,000 na Tatu City 70,000. Kuna shule, hospitali, maakazi, barabara zao etc
SIJUI ALIYESHINDA KWANI SOTE TUNA PROPOSED NYINGI...ILA KWA QUALITY OF THE PROPOSED PROKECTS NAIPA NAIROBI....HAVE YOU SEEN THOSE CITIES, SKYSCRAPERS NI TALLEST IN AFRICA SO ATA NO NEED TO COMPARERudi kwenye point kwanza usikimbie. Fanya evaluation kwanza. Twende kwa utaratibu.
PICHA MOJA HIO IMESLIP IT WASNT INTENTIONAL...WEKA ZAKO BASIYaani na picha za burundi umeweka. Duh!! Huoni hata bendera ya burundi? Ndugu acha hizo sasa. Twende na fact. Unapochukua picha za nchi zingine sio vizuri.