Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

Wajua sisi tunapost kwa ujumla, Aerial views, yaani, tunapost the larger picture, hivyo unavyouliza unataka picha za jumba moja moja ama vipi??

Kama ni hivyo Anneal itachosha kuleta hizo picha hapa sababu ni nyingi vile
Kwan nani hajapost aerial kwa ujumla nairobi ni ndogo sana kwa dar na itabaki kua ndogo sana
 
Wajua sisi tunapost kwa ujumla, Aerial views, yaani, tunapost the larger picture, hivyo unavyouliza unataka picha za jumba moja moja ama vipi??

Kama ni hivyo Anneal itachosha kuleta hizo picha hapa sababu ni nyingi vile
Niletee Casinos, Clubs, Foods, Culture area nk.
 
Na tumepost aerial view ya dar kibao inamaana hamuoni bado nairobi ndogo sana kwa dar, acheni ushindani usiokua na maana haitofanana 1590kmsq na 696kmsq hata siku moja
 
Niletee Casinos, Clubs, Foods, Culture area nk.
Labda alete culture ya wala miraa,thugs,hooligans,thieves hio ndio sifa ya nairobi na kwasababu unemployment rate no kubwa sana nairobi
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…