ichoboy01
JF-Expert Member
- Mar 6, 2017
- 79,360
- 154,913
Kwan nani hajapost aerial kwa ujumla nairobi ni ndogo sana kwa dar na itabaki kua ndogo sanaWajua sisi tunapost kwa ujumla, Aerial views, yaani, tunapost the larger picture, hivyo unavyouliza unataka picha za jumba moja moja ama vipi??
Kama ni hivyo Anneal itachosha kuleta hizo picha hapa sababu ni nyingi vile