Nicxie
JF-Expert Member
- Jun 20, 2017
- 22,324
- 18,182
Sawa bongolala. Wewe tuambie jeshi lenu limeenda peace-keeping wapi wakafyatua angalau risasi mbili😳😳😳😳😳 Ona hii umbwa?
Wanaenda nchi zisizo na vita serious yaani migogoro ya hapa na pale na unakuta hata hawafyatui risasi hata moja, wanakwambia wamepeleka amani, ******* sana, sehemu serious za vita yameshindwa na kupata aibu, Somalia na Congo, even nchi yao Baringo na Turkana imekua tabu.