ichoboy01
JF-Expert Member
- Mar 6, 2017
- 82,539
- 164,144
Same pic 2018๐ ๐ ๐Hua wanadanganya eti hizi daladala haziko dar is a slum. ๐ ๐ ๐
![]()
Same pic 2017๐ ๐ ๐
Same pic 2018๐ ๐ ๐Hua wanadanganya eti hizi daladala haziko dar is a slum. ๐ ๐ ๐
![]()
Wewe mbona ni okota okota tu mzee.? Kwanza ni nani kasema kama hizi daladala hazipo DAR.? We still have them since hadi leo tuna BRT phase 1 ambayo inafanya kazi, unajua DAR ni kubwa kiasi gani.? Wiliya ya ilala pekee Iko na population ya watu 1.5 million ambapo kila siku inatembelewa na watu almost 2 million kwaajili ya biashara n.k. Kwahyo tunatumia kila aina ya usafiri kufika makaziniHua wanadanganya eti hizi daladala haziko dar is a slum. ๐ ๐ ๐
![]()
Toilet boy unataka nikulete picha ya 2024 ama?
Unapost picha za zamani kuzungumza habari za leo ๐๐๐ saivi buguruni to Kariakoo yote imekula BRT lanes.Toilet boy unataka nikulete picha ya 2024 ama?
Kwa hivyo hakuna daladala dar is a slum?Unapost picha za zamani kuzungumza habari za leo ๐๐๐ saivi buguruni to Kariakoo yote imekula BRT lanes.
Nimekwambia hio ni picha inatumika na ilipigwa over 10yrs ago ๐ ๐ ๐ ๐Toilet boy unataka nikulete picha ya 2024 ama?
Daladala zipo tena sio tu zipo, zipo daladala nyingi kuliko sehemu yoyote East Africa, siwezi kuongea uongo kwenye hili mzee, hizo buses za BRT zipo zaidi ya 250 na hizitoshi kuhudumia Morogoro road pekee,Kwa hivyo hakuna daladala dar is a slum?
Unataka ya 2024 kama hii. ๐๐๐๐ Mbona ulikua unapigwa?Nimekwambia hio ni picha inatumika na ulipigwa over 10yrs ago ๐ ๐ ๐ ๐
Kwann uhangaike kuokota picha ovyo za Google Kwan unaumia Sana au๐คฃ๐คฃ
Au anachukulia coaster sawa na fuso za kubebea ng'ombe wanazopanda?Daladala zipo tena sio tu zipo, zipo daladala nyingi kuliko sehemu yoyote East Africa, siwezi kuongea uongo kwenye hili mzee, hizo buses za BRT zipo zaidi ya 250 na hizitoshi kuhudumia Morogoro road pekee,
Unataka ya 2024 kama hii. ๐๐๐๐ Mbona ulikua unapigwa?
View: https://x.com/AmryThompson/status/1767427186053496893?s=20
Unataka ya 2024 kama hii. ๐๐๐๐ Mbona ulikua unapigwa?
View: https://x.com/AmryThompson/status/1767427186053496893?s=20
Hua wanadanganya eti hizi daladala haziko dar is a slum. ๐ ๐ ๐
![]()
Since you are new let me introduce you to the factsโฆ We Kenyans accept our country is great but not perfectโฆ we donโt deny our weaknesses as we thrive to make it a better placeโฆ.. On the other hand.. You Bongos act like your country is the perfect paradise of milk and honeyโฆ you twist every problem exposed to denialism or act like itโs not real and itโs our own eyes lying โฆ we call that Blind Patriotismโฆ itโs stupid since it means you live in fantasy world and Lala land โฆ no wonder you remain a third world LDCโฆ. Now letโs watch you become a good blind patriotic boy โฆ proceedโฆ.๐คฃ๐คฃ๐คฃ๐คฃTatizo la watu wa nairobi mnapenda sifa.....kumbe mna hali ngumu kiuchumi๐คฃ๐คฃ๐คฃ๐คฃ
Kingereza hakileti hela mfukoni
Bongolalas wakipewa msaada wa chakula na USA, Kenya is attracting investors from the US.
Free market economicsโฆ money follows moneyโฆ I have never seen you criticize the presence of the few KFC outlets in Dar โฆ so why nitpick MCโDs?.. unless you had food poisoning while you resided in the Statesโฆ๐
Watu wana B hara T lakini usafiri bado ni shida. ๐ ๐ ๐ ๐
View: https://x.com/iDreamfoto/status/1745858277735305273?s=20
Nyang'au haoni makosa hata kidogo. Badala ya McDonald's yeye anaandika kama inavyotamkwa, ha ha ha๐