dar kila pembe ya 1590 km sq inajengwa serious alaf u want to compare hahahahahaha alaf mushkuru viwanda vyote havijarundikwa dar kama vile nairobi, tanzania viwanda vingi vikubwaa viko mikoa mingine kama mkoa wa pwani kuna viwanda vikubwa 83 na vidogo zaidi ya 200, kuna mtwara, iringa, mwanza, tanga, arusha etcNairobi haina majengo mengi marefu kama dsm lkn mji umejipanga
naona moyo unadunda dunda hheheheheheππππππTehehehe..... Kujiliwaza kweli.
hawa hua wanadhani bado tanzania iko 90s hahah kumbe hawajui tumejenga kimya kimya only 10yrs dar ni kubwa sana yani hatuwez kuimaliza hta kidogoMoyo wako unaumia sana. Dar ni mbingu. Nairobi ni jehanamu.
Moyo wako unaumia sana. Dar ni mbingu. Nairobi ni jehanamu.
heheheheh hii ndio bongo ya 2017 na sijamaliza hata robo lazma uchoke tuTihahahhaaaaa... Nimecheka hadi nimeweka miguu juu... Wadanganyika si mnaumia. You don't have to try hard to look silly
naona moyo unadunda dunda hheheheheheππππππ