ichoboy01
JF-Expert Member
- Mar 6, 2017
- 79,360
- 154,913
dar kila pembe ya 1590 km sq inajengwa serious alaf u want to compare hahahahahaha alaf mushkuru viwanda vyote havijarundikwa dar kama vile nairobi, tanzania viwanda vingi vikubwaa viko mikoa mingine kama mkoa wa pwani kuna viwanda vikubwa 83 na vidogo zaidi ya 200, kuna mtwara, iringa, mwanza, tanga, arusha etcNairobi haina majengo mengi marefu kama dsm lkn mji umejipanga